21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,280
- 2,814
Acha yani acha kabisa hizo movieHivi siku hizi kuna movie za kivita kweli kama zile za enzi zetu...Unakuta pale Eastern Condours pale Missing in Action, Delta Force, America Ninja, Fifty Fifty, President Man...
hahahahaha daaaa hakikaKweli wakati ukuta,enzi hizo niingie "bandani" ktk listi haipo muvi hata 1 ya huyu jamaa siingii.
View attachment 342235
Kweli kabisa Enzi hizo Nimwendo wa kuunga matukioHivi hizi movie zilizotafsiliwa zimeanza lini kwani maana mimi nimeanza kuzifahamu kama 2009 baada ya kuona watoto wananunua sana....
You said it all Mkuu kwa hakika siku zetu ni chache sana ,tuwalipe tu kwa wema wetu kwao
Bolo young kachoka mbaya,hua nakumbuka kwenye movie alipomwambia van dame UR NEXT!Alijisemea Arnold TIME HAS CHANGED...
Ila Bolo Yang ndio anazeeka Vibaya...
Ila Van Dame naona Bado bado..
Shubaaakengemiti [emoji16][emoji16][emoji16]saiv jinsi walivyochoka hata mie tukiweka palingi nawachapa
Daaah kweli mkuu wewe wajuzi au ulikuwa bush nini?Hivi hizi movie zilizotafsiliwa zimeanza lini kwani maana mimi nimeanza kuzifahamu kama 2009 baada ya kuona watoto wananunua sana....
Bolo Young, Rambo na Dolf Lundgreen hawajabadilika sana.View attachment 342181 View attachment 342182 View attachment 342183 View attachment 342184 View attachment 342185
Wale watu wazima wenzagu, enzi hizo hakuna cha "Isidingo The Need" wala sijui Tamthilia za Kifilipino. Ilikuwa ni "mikanda" ya ngumi na ile ya kivita. Vurumai za makomandoo na vita vya Wavietnam na USA.
Huwezi kuongelea "mikanda" ya ngumi bila kumtaja Rambo, Bolo Yang(You are Next) na kina Rambo. Hawa jamaa walitisha sana,l akini leo hii ndio hali yao.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] milele amina, Mungu tu ndo habadilikiTumsifuni Yesu kristu
[emoji15]Daaah kweli mkuu wewe wajuzi au ulikuwa bush nini?
great thinker