😆😆😆😆
Unaposokota jani la Arusha zile mbegu uwe unazichambua unatupa.
Alichezea wakati, acha liwe funzo kwetu vijana.
Alichezea wakati, acha liwe funzo kwetu vijana.
Huyo jamaa alikua na nyota sana na pesa ilimfata enzi zake nafikri wakina samatta,ulimwengu na msuva wamejifunza hapo kwa mshikaji ikabidi wahwshimu kipaji na fedha
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kununua vidala dala na gari ya kutembelea akagoma kwenda kucheza Sudan kwa malipo makubwa akabaki Yanga...
Wakati ukuta,ukipiga ngumi lazima utaugulia hata kwa yowe la chini chini. Daladala 'kwishneh' gari nayo chali kilichobaki malalamiko.
Haruna Moshi na Ngasa watajutia wakati wao.
Sisi huku tuna msemo wetu:
Mchonga mwiko hukimbiza mkono wake! View attachment 1301704
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaposokota jani la Arusha zile mbegu uwe unazichambua unatupa.