Wakati ukuta! Yule Mchezaji wetu Kipenzi! Amefika hapa!

Wakati ukuta! Yule Mchezaji wetu Kipenzi! Amefika hapa!

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,203
Reaction score
37,906
Sisi huku tuna msemo wetu:

Mchonga mwiko hukimbiza mkono wake!
Screenshot_20191223_205815_com.instagram.android.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kununua vidala dala na gari ya kutembelea akagoma kwenda kucheza Sudan kwa malipo makubwa akabaki Yanga...

Wakati ukuta,ukipiga ngumi lazima utaugulia hata kwa yowe la chini chini. Daladala 'kwishneh' gari nayo chali kilichobaki malalamiko.

Haruna Moshi na Ngasa watajutia wakati wao.
 
Pesa ilimuwahi angali kachelewa kujitambua! Yusuf Bakhresa alivompeleka WEST HAM FC kuna maboresho alielekezwa kuyafanya! Aliporudi Bongo akaliamsha dude anaitaka Yanga! Timu ya mapenzi yk! Yusuf akaona isiwe tabu! Mwana kulitaka, Mwana kulipata!
Huyo jamaa alikua na nyota sana na pesa ilimfata enzi zake nafikri wakina samatta,ulimwengu na msuva wamejifunza hapo kwa mshikaji ikabidi wahwshimu kipaji na fedha

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_20191224_063801.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kidogo. Muda Mwl Mzuri
Baada ya kununua vidala dala na gari ya kutembelea akagoma kwenda kucheza Sudan kwa malipo makubwa akabaki Yanga...

Wakati ukuta,ukipiga ngumi lazima utaugulia hata kwa yowe la chini chini. Daladala 'kwishneh' gari nayo chali kilichobaki malalamiko.

Haruna Moshi na Ngasa watajutia wakati wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na Uyanga wangu siwezi mtetea Ngasa,alipata nafasi alishindwa kuitumia saizi anatapa tapa tu,madai yake inawezekana ni ya msingi ila kwa kiwango chake saizi angekuwa anakula pensheni nzuri,mahaba yalimzidi mpaka akasahau kesho yake.
 
Back
Top Bottom