Wakati ukuta! Yule Mchezaji wetu Kipenzi! Amefika hapa!

Pale kijiwe cha Mikia kinapokosa stori za kujadili.

πŸšΆβ€β™€οΈπŸšΆβ€β™€οΈπŸšΆβ€β™€οΈπŸšΆβ€β™€οΈ
Hapa ndugu unakosea, mimi naamini wacheza mpira wa sasa wana la kujifunza, huyu ngasa kwa sasa alipaswa kucheza yanga kuwasaidia yanga kwa waliyomfanyia huko nyuma na si kwa njaa, angewekeza saiv angekuwa anakula pensheni tu, hapo unaweza kuta hata nyumba mbili tatu hana
 
Akaongeza na mkeπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapo ndo alipokosea
Pamoja na Uyanga wangu siwezi mtetea Ngasa,alipata nafasi alishindwa kuitumia saizi anatapa tapa tu,madai yake inawezekana ni ya msingi ila kwa kiwango chake saizi angekuwa anakula pensheni nzuri,mahaba yalimzidi mpaka akasahau kesho yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duu mpaka najitizama kama na mimi ndo walewale au....

Inabidi nibadili style ya maisha fainali uzeeni yasinikute ya ngassa nikaanza kumlilia mama, na ukiona hivyo ujue mamake naye kaanza kumchoka huduma nyumbani imekuwa hafifu na wake zake wanampiga masingi
 
Mkuu umenikumhusha mbali sana. Ile iliniuma sana jamaa kuacha kwenda sudan. Alibaki yanga sababu tu alikuwa anacheza na majukwaa na si vinginevyo. Sijui jamaa alikosa mshauri. Ila muache maisha yampige sina huruma nae jamaa huyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikuwa anapiga chenga au kanzu afu anaangalia jukwaa! Hilo shangwe lake sasa! Naskia kuna club alikuwa anaingia "free port"
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimu pia inachangia.. sometime unajiuliza hv hata MAAGENT wao hawajui kucheza na fursa?
Au hawapo kabisa, Au nao Elimu hakuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…