Hapa ndugu unakosea, mimi naamini wacheza mpira wa sasa wana la kujifunza, huyu ngasa kwa sasa alipaswa kucheza yanga kuwasaidia yanga kwa waliyomfanyia huko nyuma na si kwa njaa, angewekeza saiv angekuwa anakula pensheni tu, hapo unaweza kuta hata nyumba mbili tatu hanaPale kijiwe cha Mikia kinapokosa stori za kujadili.
🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️