Wakati umefika Serikali iruhusu Ndoa za Mkataba, hizi zilizopo ni msalaba kwa kizazi hiki

Naunga mkono hojam

#MaendeleoHayanaChama
 
Taikon nakuunga mkono kwa thread hii 100%

Lakn unatuchanganya vijana kuna thread ushawahi kuandka kwamba vijana tuoe mapema na kuanzisha familia mapema unatuchanganya taikon😊😊
 
Jamaa ukitangaza kugombea kada yoyote nitakupigia kampeni

Nyuzi zako huwa ni kali
 
Una akili ya kipumbavu sana kwenye upande wa kiimani kwa kuamini imani za kipuuzi za watu weeper na upande wa wanawake kwa kuwaona ni viumbe dhaifu kwa kuwa umenyimmwa mbususu kwa udomo Zege…
Kwa hili nakubaliana kwa upande unaitwa kwa lugha ya kibeberu…
ā€œPRENUPā€ agreement ambayo kama ulishajipanga kwa nyumba na mali halafu ikitokea sintofahamu….
Anaondoka na begi lake la nguo tu..Hii insfanywa sana na mabeberu wenye hela iwe mwanamke au mwanaume anayefata unafuu wa maisha kwa mwenzake akae akijua akileta za kuleta anaondoka na begi lake la nguo tu….
 
Hapa ni vurugu. Ilivyo sasa ni Bora, watu tu wanakengeuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…