Nizhneserginsky
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 269
- 579
Nimeshaelewa yaliyokusibu mkuu.Niliandikiwa gazeti.
Fungua code kdg"Siwez kuwa tena gf wako,nmecheat na nakuwa na guilty kwa nlichofanya sijiskii amani kuendelea kuwa nawe whle nmefanyw kitendo kisicho cha kiungwana kwako" iliisha ivo simple tu yani
Daah!mkuu ungeangalia reply yangu hapo juu,nlijibiwa kama ulivyojibiwa,cha ajabu alitaka kurud kwa kumtumia rafiki yake ila nmeamua kuweka ngumu,kama alikuwa ananipima ndo nishajiondokea ivoWa kwanza
*Siwezi date na nnao wazidi umri"
Hapo kaniacha miaka miwili na nilishambandua kinyama,baada ya wiki tu akarudi kunibembeleza tuendelee et alikua ananipima aone nitachukuliaje na mimi nikawa nilishafuta
Wa pili
"Naomba tusitishe uhusiano coz I dont feel being in you again nimekucheat na nina feel guilty,naona kama sikutendei haki na moyo wangu"
Nikasema poa,siku moja kubwa akarudi anaomba tuendelee huyu nikamkubalia ila kwa maneno yake yale nimeshashindwa kumuamini mpaka kesho
Mwanza mkuu,chenyew kipo bugando hapo MDFungua code kdg
Hili jibu kwangu sio geni pia
Yuko mkoa gani ana ishu gani?
isikie kwa jirani ila omba isikukuteAisee naomba Mungu yasinikute maana huyu mtu nampenda adi najichukia
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
dah inauma sanaNaamka tu asubuhi nakutana na sms "mpenzi nimeota unanicheat ati ni kweli..?"
Nikajibu mi sijui! Hapohapo nikaambiwa andelea na kutokujua kwako kwaheri! Kupiga nakuta nimeshablokiwa.
Aaah sawaMwanza mkuu,chenyew kipo bugando hapo MD
Yaan mkuu hatujatofautiana,yaan yy kila akiomba nmsamehe anadai kinachomtesa ni moments ambazo tulikuwa pamoja,anasema hazifutki kichwan mwake na zinamfanya ashindwe kuyamudu masomo vizur,ila mm nlimjibu tu kuwa mm ukishanambia umenicheat wala ctokaa nigeukee nyuma,nipime kwa njia yoyte ila kunambia umecheat hyo kambi nahama mazimaAaah sawa
Kama ingekua dar ningehisi ni huyo wangu wa pili
Mimi akaniambia ameamua aniambie ili awe huru moyoni
Nikamwambia sawa ila siwezi muamini kama zamani tena na yeye ameshajua anapambana kurejesha imani lakini imeshindikana kama mimi mwenyewe nimeshindwa yeye atawezaje? Ni ngumu na naona alimis show tu kwa sababu kila nikimuweka lazima aseme na wakati wa kurudi gia moja wapo ilikua kuomba show
Kama yaleeee yakwangu“Nime move on,Nimesharudiana na Ex wangu.Endelea na maisha yako”
Sasa huu ndio ukonki master. Hapana pelekeshwa na mbususu moja wakati mbususu zimazagaa mtaani. Pesa yako tuu unavuta kitu special.niliamka asubuh nkakuta text "tundulissu naomba tu niwe mkweli sijisikii kuwa na ww kuna mtu wangu nampenda ila nilificha tu kukwambia mi sina maamuz ila utakavyoamua itakuw ivo"
baada ya kumaliza kusoma text nilichomoa sigara kwenye pakit nikaanza kusmoke nikamjibu "aaa sawa usijali kuwa huru.
kumbe mistake iliyotokea alikuw na ujauzito wangu pasipo yy kujua ,baada ya week 2 alikuja getho akinibembeleza turudiane na kunieleza shda yake.
nilimjibu "nipo tayar kuhudumia mimba kwa gharama yoyote ila sio kukuhudumia wew,mtoto akizaliwa utaamua umlete nmpeleke kwa mama au ubaki nae naomba utoke nje
kilichofata alilia kilio cha mbwa koko
alafu kuna demu alishawah kunambia ", tundulissu ukiona mwanamke amekuomba muachane ukamjibu maneno mafupi kama sawa au haina shida maumivu wanayoyapata n makubwa kulikoww uliyeambiwa ,ila ukijichanganya kuandka kitabu et asifanye ivo hahaa unampa kichwa