Wakati unafikiri kuanza biashara mpya pita hapa

Wakati unafikiri kuanza biashara mpya pita hapa

Wafanyabiashara wengi wachanga huanza safari yao na ndoto ya kufanya makubwa katika ulimwengu wa biashara. Kuanza biashara na kuendeleza kwa ufanisi ni changamoto kubwa sana. Kunahitajika Mikakati,mipango sahihi kwa biashara hiyo kusimama.

Wakati unafikiri kuanza biashara mpya, daima ni smart kuwa karibu na waliokwisha kutangulia katika biashara na wenye taarifa/uelewa wa indusry hiyo. ili uweze kupata mawazo thabiti kuhusu jinsi unapaswa kimsingi kuendesha na kusimama na biashara yako.

Hivyo basi Keen Biztech imekuletea sehemu ambayo itakuweka karibu na Wajasiriamali,wafanyabiashara ndogondogo na wamiliki wa biashara na wenye taaluma mbalimbali ambayo itakusaidia kufanya maamuzi sahihi kwa biashara yako.

Je! Unafikiri juu ya kuanzisha biashara mpya au kukuza biashara yako iliyopo? Ikiwa ndio, basi hii ndiyo mahali bora kwako. Mjasiriamali Desk husaidia kupata mawazo mapya kuhusu biashara na inakupa jukwaa la kujadili matatizo yako yote ya biashara.

Wanachama wa Mjasiriamali Desk kawaida ni wataalam wa IT, wahasibu, mameneja, wataalamu wa masoko, wataalamu wa Rasilimali za Binadamu, wamiliki wa biashara ndogo, na wajasiriamali wanaoishi karibu na jamii yetu.

Mapendekezo na ushauri wa wanachama hawa utaongeza ujuzi wako kuhusu biashara. Unaweza kupata vipengele tofauti vya biashara zinazojadiliwa hapa. Ikiwa unadhani mada mpya ya biashara inahitajika kuingizwa, unaweza kwenda mbele na kuiongeza, na kuanza majadiliano mapya. Jumuia hii inasaidia sana kwa wamiliki wa biashara ndogo. Tumia majukwaa ya biashara ili kuinua biashara yako!

Karibu sana.
Mjasiriamali Desk.
Hii imetulia mkuu sasa kama huna biashara yeyote inakuwaje hapo
 
wakuu samahanin san <br />naomba mtu au watu amabo wanauzoefu na biashara ya vifaa vya simu(phone accessories) kutoka kenya au Zanzibar kwa bei ya jumla vifaa hvyo ni km vile mics,system chargers, screen touches, glass protectors, earphones, phone covers,chargers,USB cables,carbons, speakers, motherboard,memory cards, flash, battery, nk. nahitaji kujua bei ya jumla kwa hayo maeneo mawili(kenya na zanzibar) na wapi ni nafuu zaid na maeneo ambayo ni dominant kwa kuuza hvyo vifaa kwa bei ya jumla msaada plzzz wakuu<br /> cont: +255769939879<br />whatsapp na voice call online 24/7
 
nmechungulia kidogo humo ila nkaona mnaelezea kitu juu juu sana.mfano mada ya business plan mmeishia kuelezea umuhimu wake tu sio hata robo ya namna yakuiandaa
kama slogan ya community inavyosema Get connection & Share knowledge refer kwenye kushare knowledge, kila mmoja anashare kwa uwezo wake wa knowledge aliyonayo kuhusu swala zima la biashara na ujasiriamali, ivyo basi kama kuna mapungufu unayaona kwa kile alichokishare mwingine ni ruksa na wewe kushare kile ulichonacho ili kusaidia wote kwa pamoja na kuongeza thamani kwenye community.
 
What the forum does? is focus on business and entrepreneurship, so if you want to know something come to the forum and ask

[HASHTAG]#mjasiriamalidesk[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom