Wakati unamjig mkeo anakuambia maneno haya utafanyaje?

For what unamuuliza? Hizi ndoa za utotoni ni shida sana. Deal na ulipoanzia basi, usitafte kasoro za mke unayempenda.
 
Kumekucha Sasa
Sasa...yeye mwenyewe hajaoa bikra..alafu unataka kujua wanaume wote waliopita...Itamsaidia Nini?

Maswali Mengine hayanaga Maana..

KILA akimdu awe anauliza huwenda akafikia Average Number.
 
Ama kweli wewe ni mpumbavu wa aina yake
 
Huo muda wa kuuliza maswali unautoa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…