Wakati unamjig mkeo anakuambia maneno haya utafanyaje?

Wakati unamjig mkeo anakuambia maneno haya utafanyaje?

Bado kuna mbuzi wanauliza body count ya wenza wao? Una tofauti gani na pundamilia?
 
Wakati unamkaa mkeo unauliza maswali ya kipuuzi ili iweje. Kwamba unatarajia mwanamke atakupa majibu ya ukweli? Ati demu ana more than 26 yrs umekutana nae kwenye butters au kwenye daladala.

2-3 ndio idadi utatajiwa ila kimsingi walioparua K sio chini ya watu 10 kwa binti yeyote ambaye anatongozeka na yuko exposed na maisha. Fikiria tu schoolmates, college mates mpaka mabaharia uraiani na staff kama yupo kazini.
 
Kila Mwanamke huwa anasema watatu au akikuona boya anasema wewe ni wa pili, Ila kiukweli anakuangalia anakulinganisha anakuona kama fala tu.
Aluyeoa Bikira tu ndio mwanaume anaetakiwa kujisifu
 
Hyo maswali gani ya kuuuliza kwenye kipindi kizuri kama hcho,acheni utoto unaboa!we fanya utavoona maana swali lenyewe la kiseng***
 
Uko na mke wako wa ndoa unamjig Sasa wakati mko kwenye climax kabla ya orgasm unamuuliza hivi kabla siajkuoa au toka nimekuoa umejig na wanaume wangapi maishani mwako? Anakuambia huku analia kwa utamu inhiiii nhiiiieee aayaa wanaume watatuuu...!

Je utamfanyaje? Kumbuka kwenye stage hii mtu hadanganyi.
Haina shida maana nilivyomkuta hana bikira na kuamua kuendelea naye ukweli huko wazi kwamba alikuwa anafanya zinaa kabla ya kuwa na mimi. Idadi ya wanaume aliofanya nao zinaa haiongezi au kupunguza chochote, issue ya maana ni kuwa mwanamke wangu ni mzinzi basi.
 
We braza bana sasa hapo cha ajabu nini

Ungekua umeoa singo maza jee ungekuja kuuliza huu utopooooo FC

Sent from my Iᴩʜᴏɴᴇ 11 Pro using JamiiForums.com mobile app
 
Unauliza hilo swali la kitopolo kama hilo ukiwa na lengo la kutaka kugundua nini?
 
Uko na mke wako wa ndoa unamjig Sasa wakati mko kwenye climax kabla ya orgasm unamuuliza hivi kabla siajkuoa au toka nimekuoa umejig na wanaume wangapi maishani mwako? Anakuambia huku analia kwa utamu inhiiii nhiiiieee aayaa wanaume watatuuu...!

Je utamfanyaje? Kumbuka kwenye stage hii mtu hadanganyi.
Kwani ulimwoa bikra? Iweje mpaka usubiri hiyo hatua wakati tayari wana walashakujengea lami kabisa!?
 
maswali mengine unajitafutia preshabure ukiambiw ni yule rafiki yako fulani tu tenaalibahataisha tu hakuna mwingine sijui utasemaje
 
Back
Top Bottom