Me too JF-Expert Member Joined Feb 9, 2015 Posts 7,388 Reaction score 9,333 Jul 5, 2022 #1 nakumbuka hii ndo ilikuwaga inanikera kuniamsha tu. wenzangu mlikuwa wapi au darasa la ngapi, ata kazini?
nakumbuka hii ndo ilikuwaga inanikera kuniamsha tu. wenzangu mlikuwa wapi au darasa la ngapi, ata kazini?
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 48,052 Reaction score 104,677 Jul 5, 2022 #2 Miaka inaenda sana, tumetoka mbali sana. Hizi ndoo zilitukuza.
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,119 Jul 5, 2022 #3 Labda uniambie shamba boy wenu alikuwa anatumia hiyo akikamulia n'gombe maziwa toto la kishua kama wewe umetumia hii kitu mbona unataka utochore bibie Kwanza ulikuwa unakatazwa kulishika usijepatwa na tetenasi
Labda uniambie shamba boy wenu alikuwa anatumia hiyo akikamulia n'gombe maziwa toto la kishua kama wewe umetumia hii kitu mbona unataka utochore bibie Kwanza ulikuwa unakatazwa kulishika usijepatwa na tetenasi
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Jul 5, 2022 #4 Dah zamani sana
M Mdukuzii JF-Expert Member Joined Jun 27, 2022 Posts 2,552 Reaction score 6,422 Jul 5, 2022 #5 Zamani plastic material zilikuwa gharama kuliko haya mabati,now things are vice versa
T Tony Laurent JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 5,606 Reaction score 7,032 Jul 5, 2022 #6 Yalikuwepo na makarai ya aluminium, sasa hivi kuna mabeseni ya plastic.
Ivan Breaker JF-Expert Member Joined Jun 13, 2020 Posts 1,379 Reaction score 5,499 Jul 6, 2022 #7 Nilikua nikiona mafundi nyumba wakitumia hiki chombo kuchanganyia simenti