Wakati upi DATE RAPE siyo ubakaji?

Karibu. And a gentleman will stop when told so, and he will never have sex with a woman when he knows she is not enjoying. These ar the men I respect.

respect? what respect.....................huku unaninyonya ulimi na kunilembulia huku unasema hutaki......inayofanana na unanitaka......nikueleweje kama siyo geresha zako lol.........nikuachie khalafu kesho unicheke..........
 
kwanza mimi nataka mtu aliyemahiri kwa lugha ya nchi yetu anitafsirie maana ya neno rape.
Pili nataka aloanzisha hii issue anifafanulie pale anaposema "wakati date rape inapokuwa sio ubakaji". Kama si ubakaji kwa nini inaitwa rape? au kuna neno rape katika kiswahili lenye maana nyengine zaidi ya ubakaji?
Tatu kwa nini tunatumia kiingilishi wakati hatukijui uzuri? kuna kosa gani kusema kiswahili?
Nne: tafsiri ya kubaka kwa ufupi tu ni kumuingilia kimwili mtu (mwanamme, mwanamke, au mtoto) kwa kutumia nguvu na bila ridhaa ya anaeingiliwa. Kwa mtoto hata kama atatoa ridhaa bado inahisabiwa ni kubaka. Maneno "kutumia nguvu bila ya ridhaa" ni muhimu hapa kwani kuna watu humu duniani wenye fantasy za maajabu inapokuja kwenye sex,, amini usiamini lakini wapo watu katika dunia hii ambao wana act kuwa wanabakwa na wapenzi wao, ajabu lakini ni kweli. kama huamini do search on internet na utaona.
 

binti anadai baada ya kudu kuwa ile ilikuwa ni date rape lakini mimi naona nilikuwa nina ridhaa yake......mabusu yake na mipapaso ya kuniamsha mahanjamu.......lol
 
respect? what respect.....................huku unaninyonya ulimi na kunilembulia huku unasema hutaki......inayofanana na unanitaka......nikueleweje kama siyo geresha zako lol.........nikuachie khalafu kesho unicheke..........

ok usimuachie halafu kesho usilie akikuletea polisi nyumbani kwako, na kama utajibu majibu hayo kwa polisi basi ninakuhakikishia unakwenda keko kusukuma ukuta for sure. Kazi kwako kusuka au kunyoa.
 

.....arrrgghhh, mvuto wa nje tu huo kaka....yanini kuharibu urafiki, ushemeji nk sababu ya 'mkojo?'...
mw'mke anapokataa ana sababu zake nyingi za msingi, ikiwemo mimba, STD...na hata Chuki kwako na
uaminifu mliojijengea...
 

wahusika ni wawili lakini mitazamo inatofautiana................binti adai ni date rape...........lakini njemba yaona haikuwa ubakaji...................ridhaa ya mlalamikaji alikuwa nayo...........
 
.....arrrgghhh, mvuto wa nje tu huo kaka....yanini kuharibu urafiki, ushemeji nk sababu ya 'mkojo?'...
mw'mke anapokataa ana sababu zake nyingi za msingi, ikiwemo mimba, STD...na hata Chuki kwako na
uaminifu mliojijengea...

huo siyo mkojo ni mbegu zenye uhai na zina hisia zake za kukubalika kwa umpendaye........kwa hiyo mambo siyo mepesi hivyo...........
 
ok usimuachie halafu kesho usilie akikuletea polisi nyumbani kwako, na kama utajibu majibu hayo kwa polisi basi ninakuhakikishia unakwenda keko kusukuma ukuta for sure. Kazi kwako kusuka au kunyoa.

kesi ni kesi tu tutakwenda nayo polepole.................nzi kufa juu ya kidonda iko shida ipi?
 
Hapa umelonga mkuu....hii ipo sana kwenye jamii yetu hasa domestic rape so common. Nikiwa mke or gf doesn't give a man a right to force when I don't feel like.

North America feminism at its ugliest height............sasa uliolewa au utaolewa yaani ufanye utakavyo si kheri ukabaki mwenyewe huko kwako .........ukajifaragua uonavyo...............ukiolewa amri ni moja tu............kama anakuhitaji mkabidhi vyake bila kuleta zengwe............
 
Kama mmoja kalazimisha basi ni ubakaji. .NUKTA.

kipimo chakuwa kalazimishwa ni kipi? Mlalamikiwa anaona ana vibali vyote vya kuendelea kulamaraha...............lol tatizo malalamiko humfuata baadaye.........
 

Rape manake ni kuwe na penetration ya penis into the vagina? una uhakika? umepata wapi tafsiri hii? Hili ndio tatizo letu watanzania inapokuja katika suali hili la rape/ubakaji. Tunafikiri ni mwanamke tu ndie anaebakwa na kwa hivyo kama huyu ndugu alivyosema ni penetration ya penis into vagina. Kwa hivyo ukitumia nguvu kumuingilia mwanamke kwa nyuma sio rape?

Utumiaji wa nguvu wa kumuingilia binaadamu mwengine mwanamke au mwanamme kwenye vagina au anus bila ya ridhaa ya anaeingiliwa hiyo ni rape/ubakaji. Haimaliziki hapo kwani pia ni rape pale mwanamke au mwanamme anapouingiza uume wa mwanamme mwengine katika vigina au anus yake bila ya ridhaa ya mwanamme husika hiyo pia ni rape.

Kama hamjawahi kusikia mwanamke na ******* kufungwa au kushitakiwa kwa kosa la kumrape mwanamme soma mtandaoni utaona.
 
Huyo mwanamke alikuwa anataka sema alikuwa anazuga tu. Asitusingizie kuwa tumemrape

Young_master tuko wote..........................inabidi wawe wa kweli hawa ndugu zetu tunawapenda lakini waache haya mazogo........wakubali yaishe kiusalama na tugange yajayo..........
 
Lol, big respect mwaya, cha kujitia ukakasi? Akunyimae kunde akupunguzia mashuzi.
...Ameen, Mungu aendelee kunilinda hisia zangu za kuzikataa 'mbichi hizi'....
 

kweli elimu haina mwisho
 
I hope and pray that this is not the mentality of all my fellow tanzania brothers. NO means NO period!!!!

keep on hoping............but I will keep on praying it keeps me ticking on day to day basis........
 
Ooh Dear! I am sorry for my oversight. Nimesahau hata wanaume nao wanaweza kubakwa either na wanaume ama wanawake. Nadhani nilipaswa kuishia kwenye 'penetration' tu. Samahani sana kwa hili. Lakini usisahau kuna issue ya shambulio la aibu ama sexual assault, they carry equal weight...
Samahani tena mkuu. Hii tafsiri nimefukua tu mafaili kwenye hichi kichwa, nahitaji ku-format hard disk nahisi,kha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…