Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
Russia imedai inatengeneza drone 4000 kwa siku. Hii ni kutokana na silaha nyingi kutumika kwene vita ya Ukraine.
Ushauri kwa serikali.
Hii nchi mbaka sasa sijui inatengeneza nini. Pamoja na kuongezeka kwa changamoto za kiusalama bado kama nchi haijaweza au haina uelekeo wa kuboresha uzalishaji wa silaha hivo uhakika wa taifa hili miaka 50 ijao kua hamna.
Changamoto kama ugaidi mipakani, msumbiji, al shababu wakitokea kenya na somalia, ADF kutoka CONGO, M23 kutoka rwanda na bila kusahau ugaidi wa ndani kama Kibiti, mapango ya Amboni na ule ulitokea Mwanza.
Kupakana na nchi maaduni ambazo zinatumika na wamagharibi kuvamia nchi kupora malighafi kama Uganda na rwanda na sasa hivi Kenya imeongezeka.
Kwanini nchi isianze kuzalisha hata drone moja kwa mwaka.miaka kadhaa hatuwezi kua kama tulivyo.
Niwakumbushe tu:
Drone: Ndege sizizo na rubani
View: https://x.com/sambendett/status/1818302307903398220

- Drone za iran na uturuki zilibadili vita ya Tigray dhidi ya ethiopia. Ethiopia ilikua ishazidiwa.
- Drone zilibadili vita Azebajan na Amernia.
- Drone hizo hizo ziliwazidia russia na kuwazuia kufika kivu.
- Drone Drone drone