Mgosi Mbena
JF-Expert Member
- Nov 28, 2023
- 499
- 604
Nadhani umewekwa kwa makusudiNi woga wetu na serikali isiyotaka kufungua milango
Kila ukitaka kufanya kitu utaambiwa upite ofisi zaidi ya 10 na zote utazungushwa mpaka ukome na kuachana nayo
Bashe alisema lazima ofisi zote ziwe under one roof sijui kama iliqezekana enzi za Magu
Sisi ukiritimba ndio unatufanya tuwe nyuma