Mgosi Mbena
JF-Expert Member
- Nov 28, 2023
- 499
- 604
Nadhani umewekwa kwa makusudiNi woga wetu na serikali isiyotaka kufungua milango
Kila ukitaka kufanya kitu utaambiwa upite ofisi zaidi ya 10 na zote utazungushwa mpaka ukome na kuachana nayo
Bashe alisema lazima ofisi zote ziwe under one roof sijui kama iliqezekana enzi za Magu
Sisi ukiritimba ndio unatufanya tuwe nyuma
Yule jamaa tapeli sana.Dah!Kile kituko au alinunua mdoli wakauunganisha
Nadhan elimu yake inasadifuYule jamaa tapeli sana.Dah!
Ili uhangaike na kukata tamaaNadhani umewekwa kwa makusudi
Machawa+wakata maunoTanzania inaongoza kwa kuzalisha machawa wengi kila mwaka kuliko nchi yoyote duniani.
Kuna mwanafunzi wa DIT alitengenezaga drone yake sijuiIli uhangaike na kukata tamaa
Na Rushwa pia ndio milango yake
Daa utakuta yuko jela kwa kufanya hilo jaribioKuna mwanafunzi wa DIT alitengenezaga drone yake sijui
Aliishia wapi....
Sema tz nguvu kubwa imeelekezwa kwa machawa na wakata mauno
Ova