Leo nitajikita kwenye kupotea kwa misaada ya HIV/AIDS tu , tuna watanzania zaidi ya millioni na nusu wanachukua na kupata dawa za HIV/IADS bure kutoka kwenye shirika la USAID, hawa watanzania wanapata vipimo vya serostatus na viral loads kila mwezi kupima maendeleo yao bure kutoka kwenye shirika la USAID, wale wenye maambukizI mapya wanagundulika mapema na wanapata vipimo na kuanza kutumia dawa bure kutoka kenye shirika la USAID, Wagonjwa wa HIV/AIDS wanapata cancelling na usaidizi wa lishe bora pamoja na njia za uzazi salama na za kujikinga kuambukiza wengine bure kutoka katika shirika la USAID. Condom za bei rahisi, virahinishi vyote vinapatika kwa bei subsdized kutoka shirika la USAID.
Sasa sayansi ya tiba inasema seroconvergence inakuwa kubwa mara zaidi ya hamsini (50-80%) mtu akiacha kutumia dawa za chronic illness mfano Kansa au za HIV/AIDS. Ebu tujikite kwenye HIV/AIDS; maana yake wale wadudu waliokuwa wamebakia kwenye sanctuary places wanaibuka kwa nguvu mpya na kasi ya ajabu, sio tu kwenye kuzaliana bali kumutate na kushambulia sehemu zote muhimu za mwili, maini, figo,damu moyo, mapafu, ngozi kwa speed ya ajabu, Mara nyingi hawa wagonjwa hawachukui muda kufariki ni bora wasingeanza dawa, it is non stopable battle of new serocovergence.
Kibaya zaidi, mbali ya virulence potential ya hawa virus wa hawa wagonjwa kuwa kubwa bali infectivity potential yao ni balaa, hapo nyuma uliweza kujamiiana na mtu wa HIV mara zaidi ya 10 bila maambukizi kwa sababu alikuwa yuko kwenye tiba (undetectable viral load); viral load yake ilikuwa very low, na infectivity power ya virus ilikuwa almost negligible.Sasa tutegemee infection rate (incidence) ya HIV kupanda zaidi ya mara 50, unategemea nini kuhusu maambukizi mapya;kumbuka jamii yetu tunaendelea kula bata bila kinga kama kawa, hatujui hawa watu wako kwenye seroconvergence tena wengi wao wamenawili kuliko sisi kajamba nani kutokana na protein za kwenye dawa hizo. Nakuambia hatujawahi kuencounter kitu kama hiki tangia ugonjwa wa HIV ugundulike.
Kumbuka tulijishahau mpaka ikafika sehemu tukaona ukijipaka mafuta ya nazi ni kinga tosha ,hakuna haja ya condom, na kwa sababu watu walikuwa hawahambukizwi hata wakigundua wametumia mafuta ya nazi kwa HIV patients tukaconclude huhusiano (association) ya protective effect ya mafuta ya nazi na kuambukizwa HIV.tukaona mafuta ni kinga bora;sasa jichanganye kwaseroconvergence patient ndipo utakiona cha mtema kuni,hata ukijimwagia kachupa kazima, yale majimaji yake tu (fluids na serum) yanakuwa na virus mamilioni, Hatukujua ni kwa sababu ya depreeved HIV Viral load baada ya dawa na si mafuta. Hapo sijahusisha Madenda zembe tuliyokuwa tukipigana, sasa oral na oesophagial candidiasis zitakuwa kibao, madonda ya mdomoni kibao, ole wako, ukiingiza ulimi tu....tayari. Yaani ni hatari.
Sasa cha ajabu watunga sera wanasubili disaster itokee, vifo vipangane mahospitalini , new infection rate ifikie zaidi ya 30 % ina maana ratio iwe 1.3 kati ya wagonjwa na wazima, it will be too late my friend na ndipo tushtuke, nakuambia itakua too late. Juzi nilikuwa najiuliza hivi hawa wazungu walipanga kwa makusudi yaani "tuwadekeze kwa dawa za bure hawa waafrika, then tu- stop ghafla bila wao kujiandaa, wapukutike na kuambukizana kwa kasi ya ajabu ,hapo tutakuwa tumefikia lengo letu la depopulizing afrika" . Kama ndivyo ilivyokuwa basi watakuwa wamefanikiwa kwa asilima zaidi ya 110%.
Na kwa sababu sisi tunaendekeza ngono sana sana tena sana sana na hatuko serious kwenye kujikinga na kibaya zaidi hatujui kuchukua hatua za haraka za kulinda jamii yetu kwa mfano si unaona mpaka sasa ni hatua gani imechukuliwa zaidi ya maneno ya kisiasa (niliona tangazo la wizara ya afya, nikacheka mwenyewe are we really serious. this is a matter of life and death). Tangazo na mikakati utafikiri tunakabiliwa na upungufu wa sindano tu au reagent kwenye mikoa michache,tatizo ambalo linaweza kuwas solved overnight. Remember and the truth is this is a complex cross cutting social economic issue/matter with multiple effect to individual families, people and the country economy at larger.
Nilitegemea nini sasa kwa watunga sera wetu kwenye hili Janga la kitaifa?
1) Kwanza wangefunds na kutoa new emergence strategic plan ya upatikanaji wa dawa na vipimo vya HIV/AIDS kwa uhakika na urahisi kwa wagonjwa wote.
2) Pili nilitegemea wangefund na kutoa new emergence strategic plans za uwezeshaji wa upimaji wa HIV/AIDS kwa uhakika na uharaka.
3) Tatu, tena muhimu zaidi nilitegemea kwa sababu tajwa paragrahy ya 1 na 2 hapo juu kuhusu uwezekano wa maambukizi mapya ya kasi ya umeme tulitegemea watenge fedha na kutengeneza new emergence HIV/AIDS health education , health promotion and prevention strategic plan ambayo iko tailored to the emerging situation
Kwangu mimi hii ya emergence HIV/AIDS health education ,health promotion and prevention strategic plan ambayo iko tailored to the emerging unique situation should be the first priority na ingeanza kuanzia January 2025,it is an emergence because it touches the corner stone of public health initiaves (emergence preparedness & prevention ). Kwa nini nasema hivyo? nitakueleza? kaa mkao wa kula tu husiwe mbishi, kwani humu jamii forum kila mtu ana PhD ya kila fani, mimi sielewagi comments zetu, kumbuka hii ni sayansi ya public health & health management. Jamani situation tunayoenda kukabiliana nayo hahijawahi kutokea duniani kote ,watu wengi , nchi nyingi kustop ghafla dawa za HIV/AIDS (mass stoppage of medication) na kusababisha mass viral load multiplication, viral mutation na infectivity rate (incidence) kuongezeka. Hii inahitaji another approaches of health education and health promotion ikitarget hizo arms tatu unique zinazotokea baada ya mtu kuacha dawa. It should not be business as usual.
Itabidi turudi kwenye drawing board, tuache mipango ya ku-copy and ku-paste kwani hii ni unique situation has never happened in the past kwenye upande wa HIV/AIDS. Turudi kule kama mwanzo kutumia multiple media (news letters, radios, TVs, community dilogies, targeted health education mostly to patients themselves na hawa ni muhimu kwani ndio yatakuwa mabomb ya kulipulia watu. SOCIAL BEHAVIOUR CHANGES approaches targetting ku-raise community education and awareness, hasa ya nini kimetokea na kinachotokea, nini kifanyike wakati wa sex na mtu aliyeacha dawa, nini kifanyike kwa aliyeacha dawa, nini kifanyike ukijikuta umejichanganya na mtu aliyeacha dawa, ni vitu gani muhimu vya kuzingatia wakati unadeal na hawa watu walioacha dawa. Lakini provision ya public assurance, serikali yao inafanya nini kukabiliana na hili janga ili kutoleta mshtuko wa kijamii, ni bora upate mshtuko wa mtu mmoja mmoja na si mshtuko wa jamii.hiyo ni hatari. Je wewe unasemaje kuhusu hatari iliyo mbele yetu.toa maoni yako.....