Wakati USAID Ikipotea, Tutegemee Vifo na Maambukizi Mapya ya HIV makubwa haijawahi tokea, Tusipochukua hatua ;it is really a timing Bomb!

Ukimwi ni malaria
Mko wapi?
😹😹😹
Tupo hapa tunakula bia kufurahia mwisho wa janga la the so called Ukimwi

In short hizo dawa na vipimo ndo zilikuwa zinaua watu maana ukipima ukiambiwa+ve lazima upanick /fear afya itatetereka then ukishaanza kuzitumia dawa it means utazitumia maisha Yako yote siku ukiacha lazima wasafirishe

Hilo ndio janga tulilokuwa nalo yaani dawa na vipimo sio Ukimwi hakuna ugonjwa unaoitwa Ukimwi duniani hivyo kusitisha dawa indirectly ni sawa na kusitisha Ukimwi Africa,

Eeh Mungu mjalie maisha marefu Trump naamini hili kafanya maksudi kwa kuwa anajua kilichopo nyuma ya pazia, Trump ni nabii
Tunaendelea kufurahia tukigonga glass za bia
 
Watu wanajua kujazana hofu hatari......hata kama USAID aki-pullout, serikali itaingia mfukoni yenyewe, pia ni USA ndio anaenda poteza, zitaanza invizwa hapa dawa toka uchina aanze lia lia.
 
Mkuu umezaliwa mwaka gani? Huenda kuna vitu hukushuhudia kabla ya ujio wa ARV
 
That means HIV doesn't weaken the immunity leading to death ila ni hofu hupelekea kifo
 
Kwa hiyo wewe Huwa hulipi.kodi?

Kwamba Bajeti ya Trilioni 45 ya Nchi ni misaada na mikopo,harafu wanaokopesha tunawalipa nini?

Huna akili napoteza energy Kwa kilaza.
Kodi anakula Mwigulu na Team yake huko bungeni.

80% ya Vitabu vyote vya Sekondari ni msaada wa USAID. Nchi haina uwezo hata wa kununulia Vitabu wanafunzi wake
 
Inawezekana kweli mwanzo tukafa sana baadae ukimwi ukapotea mazima na usiwepo tena

Tatzo bado kuna wajinga wanahela sana wataweza kununua hzo ARV's,ingekuwa wote hatuwez kuzinunua naamin ukimwi ungeisha kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…