Wakati vikao vya bunge vikiendelea Mh. Vicky Kamata yuko nje anakula bata

Nchi hii bwana kisa Mbunge asisafiri eti anatumia hela zenu zipi ilihali anamshahara wake ???? Mbona hamuwashangai Mabinti kama kina Masogange kutwa safari na hawana kipato kinachojulikana ?? Hebu muacheni kapitia Mtihani Mkubwa sana kuvunjika kwa Harusi ya M100 siku moja kabla mnadhani mchezo ehee! wapi wale waliofitinisha harusi yake haya Baba Free Lady huyooooo karudi kwa Mkewe na denda wamekulana , wewe utaishia kuwa nyumba Ndogo tuuu .....Jipange :behindsofa:
 

Haahaahaa umetupa jiwe gizani ukisikia uuuwiii jua kuna liliye mpata. Anyway michango ni mizuri sana. Wenye pumba zao pia wanapa fursa ya kuzitoa namna hiyo. Hela ya mbunge ni kodi ila ya akina fulani sio kodi.
 
Hivi huyu dada akihojiwa watoto wale ni wa nani atajibu kwl?
 
Jamani hao wanaitwa viti maalumu, na wanateuliwa kwa kazi maalumu na wana VITU maalumu kwa watu maalumu...sasa unavyotaka awepo bungeni tuuuuuu, ili hali yeye hajisikii sijui lengo lako ni nini...

Na hata wakiwa huko mjengoni (wengi wao) hata huwa hawajui wanatakiwa wafanye nini....mara moja moja wanaandikiwa, wakisimama wanasoma..kengele inalia anaketi anasubiri posho a.k.a matunda kutoka shamba la bibi...sasa unalalama as if wewe ndio unawateua...hao wanaowateua wakiona sababu zao maalum za kuwateua hao watu maalum hazitekelezwi watawapumzisha....
 
Vicky kwasasa anakula bata nchini italy bila kujali vikao vya Bunge vinavyoendelea mjini Dodoma

mijitu mingine cjui ikoje!umebalehe lin wewe?post za kipuuz unazileta humu!kinachokusumbua ni wivu na umasikin wako tu!amekuchukulia bwana?wivu wa kike huu!
 
mijitu mingine cjui ikoje!umebalehe lin wewe?post za kipuuz unazileta humu!kinachokusumbua ni wivu na umasikin wako tu!amekuchukulia bwana?wivu wa kike huu!

As long as ni mbunge wa jamuuri ya muungano wa Tanzania ...kila mtu ana haki ya kuoji ukizingatia bunge linaendelea. Labda kama izo pic sio za sasa ndo utuambie ivyo.
 
Hivi huyu dada akihojiwa watoto wale ni wa nani atajibu kwl?

Si atajibu wa mwanaume kwani si katiwa mimba na mwanaume? kwani na wewe si umezaliwa? aliyekuzaa si alitiwa mimba? Sasa jiulize mama yako akiulizwa wewe mtoto wa nani anatakiwa ajibuje.. na kisha bila shaka hilo ndo jibu lake pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…