Wakati vikao vya bunge vikiendelea Mh. Vicky Kamata yuko nje anakula bata

Wakati vikao vya bunge vikiendelea Mh. Vicky Kamata yuko nje anakula bata

Si atajibu wa mwanaume kwani si katiwa mimba na mwanaume? kwani na wewe si umezaliwa? aliyekuzaa si alitiwa mimba? Sasa jiulize mama yako akiulizwa wewe mtoto wa nani anatakiwa ajibuje.. na kisha bila
shaka hilo ndo jibu lake pia.

Mweeeeeh!!!
Kumekucha.
.
 
Huyu nae aliabishwa vibaaaayaaaaaaa....duh....ndoa ikawa ndoto
 
Kwani hata akiwa huko bungeni anaongea nini?
Mwacheni ale good time mtoto wa mwanamke mwenzetu.
 
Vicky kwasasa anakula bata nchini italy bila kujali vikao vya Bunge vinavyoendelea mjini Dodoma
Ndio sababu tulipendekeza kwenye tume ya mzee warioba viti maalum vifutwe hawa hawawajibiki kwa wananchi!wala yeyote hapa TZ,wanapewa kihisani and not otherwise,hawa ni mizigo kwa walipa kodi...
 
Kwa hisani ya watu wa Marekani...lol...
Ndio sababu tulipendekeza kwenye tume ya mzee warioba viti maalum vifutwe hawa hawawajibiki kwa wananchi!wala yeyote hapa TZ,wanapewa kihisani and not otherwise,hawa ni mizigo kwa walipa kodi...
 
Ndio sababu tulipendekeza kwenye tume ya mzee warioba viti maalum vifutwe hawa hawawajibiki kwa wananchi!wala yeyote hapa TZ,wanapewa kihisani and not otherwise,hawa ni mizigo kwa walipa kodi...

Sio hao tu hata wale wanaosinzia na tangu aingie bungeni mpk anamaliza muda miaka 5 hajaongea chochote cha maana!
 
iyo ni njia ya kwenda Baltmore kumsalimia mgonjwa wa tezi DUME
 
Hivi ile harusi yake baso tuuuu..maana keshapata nafuu huyu
 
Back
Top Bottom