Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Si atajibu wa mwanaume kwani si katiwa mimba na mwanaume? kwani na wewe si umezaliwa? aliyekuzaa si alitiwa mimba? Sasa jiulize mama yako akiulizwa wewe mtoto wa nani anatakiwa ajibuje.. na kisha bila
shaka hilo ndo jibu lake pia.
Mweeeeeh!!!
Kumekucha.
.
hahaha ikinoga uniite
Hahaaa ntakuphonecall miss!
nakupendea hapo tu lol ma sterling wameingia mitini
Mwenzangu hao naona walikuwa wanajibeep tu!
Ndio sababu tulipendekeza kwenye tume ya mzee warioba viti maalum vifutwe hawa hawawajibiki kwa wananchi!wala yeyote hapa TZ,wanapewa kihisani and not otherwise,hawa ni mizigo kwa walipa kodi...Vicky kwasasa anakula bata nchini italy bila kujali vikao vya Bunge vinavyoendelea mjini Dodoma
Ndio sababu tulipendekeza kwenye tume ya mzee warioba viti maalum vifutwe hawa hawawajibiki kwa wananchi!wala yeyote hapa TZ,wanapewa kihisani and not otherwise,hawa ni mizigo kwa walipa kodi...
Ndio sababu tulipendekeza kwenye tume ya mzee warioba viti maalum vifutwe hawa hawawajibiki kwa wananchi!wala yeyote hapa TZ,wanapewa kihisani and not otherwise,hawa ni mizigo kwa walipa kodi...