wakati wa ejaculation (kupiga bao) manii yanatakiwa yatoke kwa kasi gani?

wakati wa ejaculation (kupiga bao) manii yanatakiwa yatoke kwa kasi gani?

stanb

Senior Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
153
Reaction score
19
naomba majibu, kwa sababu wapo yanayotoka kwa kasi, yapo ya kutoka kwa kasi ya wastani pia kuna nyingine huchuruzika bila kasi yoyote. Je utofauti huu unamaana yoyote ktk uzazi.
 
185,000 miles per second (301,000 km/s)
kama speed ya mwanga wa jua
 
Kwa kawaida mshindo wa kwanza utoka kwa kasi zaidi kuliko zinazofuata. Kikubwa zaidi ni kutoa viable sperms.
 
Wajuzi fikeni pande hizi jamani!!
 
Speed ya sperm inategemea na mwili wa mtu hapa anajumuisha afya ya mtu inayotokana na style ya maisha kiujumla.
 
bado cjapendezwa na majibu mliyotoa. Hivi inamaana mtu akitema mate gizani hajui yameenda umbali gani mpaka traffic waje. Toeni majibu sahih
 
Back
Top Bottom