Mtoto wa Baba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,123
- 4,023
Ahsante momrasa...kumbe kwenu marangu eeFine..karibu Marangu Mamba tule sikuku momrasa.....
Yaaaap....karibu sana. Vp umewahi ku visit lake chala?Ahsante momrasa...kumbe kwenu marangu ee
Ahsante sanaa momrasaYaaaap....karibu sana. Vp umewahi ku visit lake chala?
Unaogopa nn? Jitahidi ufike pale, upate na historia ya ilo ziwa. Pia kuna mandhari nzuri ya kuvutia.Ahsante sanaa momrasa
Lake chala sijawahi kwenda mkuu...naogopa kufika kule
Rafiki kule watu wanakufa hovyo sana...halafu nasikia huko kwetu kuna mtu Alifia huko sasa tulikuwa tunaambiwa kuna laana tusiende ...sijui nitaenda lini momrasaUnaogopa nn? Jitahidi ufike pale, upate na historia ya ilo ziwa. Pia kuna mandhari nzuri ya kuvutia.
Saiv mazingira ya pale yameboreshwa na ulinzi ni wakutosha. Isitoshe mara nyingi hawaruhusu wabongo kuogelea ila wazungu wanaogelea( ziwa linna kina kirefu zaidi ya 300m). Kwa iyo usiogope..ww ukipata time unaenda osha macho hapo....Rafiki kule watu wanakufa hovyo sana...halafu nasikia huko kwetu kuna mtu Alifia huko sasa tulikuwa tunaambiwa kuna laana tusiende ...sijui nitaenda lini momrasa
Karibu mkuu....Na mimi najiandaa kurudi nyumbani...
hayau mwaneduKolya iu ustali kyevaku...utasheejishirwa kasi bure maisha ave maumu...vumilia tiki maakwa pasaka wejemeinengwa kalikiso ukasha na kaa chapu
Eti ee.... Halafu ni karibu tu na nyumban tunapanda tu bodaboda...ntaenda siku mojaSaiv mazingira ya pale yameboreshwa na ulinzi ni wakutosha. Isitoshe mara nyingi hawaruhusu wabongo kuogelea ila wazungu wanaogelea( ziwa linna kina kirefu zaidi ya 300m). Kwa iyo usiogope..ww ukipata time unaenda osha macho hapo....
Unga wa ngano na chumviHivi mbege huwa inatengenezwa na nin?
Stoo Mombasa, Vuagha, Kilaweni.....Niko Usangi Mwanga Kilimnjaro Tanzania upareni hala msudu makandeni
Karibunii
Sijui hata nikuelezeeje.Hivi mbege huwa inatengenezwa na nin?
Stoo Mombasa, Vuagha, Kilaweni.....
Stoo Mombasa, Vuagha, Kilaweni.....
Wanatumia machungwaHivi mbege huwa inatengenezwa na nin?