Wakati wa familia kukutana ndio wakati bora zaidi maishani..

Unaogopa nn? Jitahidi ufike pale, upate na historia ya ilo ziwa. Pia kuna mandhari nzuri ya kuvutia.
Rafiki kule watu wanakufa hovyo sana...halafu nasikia huko kwetu kuna mtu Alifia huko sasa tulikuwa tunaambiwa kuna laana tusiende ...sijui nitaenda lini momrasa
 
Saiv mazingira ya pale yameboreshwa na ulinzi ni wakutosha. Isitoshe mara nyingi hawaruhusu wabongo kuogelea ila wazungu wanaogelea( ziwa linna kina kirefu zaidi ya 300m). Kwa iyo usiogope..ww ukipata time unaenda osha macho hapo....
 
Eti ee.... Halafu ni karibu tu na nyumban tunapanda tu bodaboda...ntaenda siku moja
 
Back
Top Bottom