Wakati wa familia kukutana ndio wakati bora zaidi maishani..

Wakati wa familia kukutana ndio wakati bora zaidi maishani..

Hizo za lift nilitafuta moja tu nikapata la kuondoka jumamosi. Nikampa mtu seat yangu baada ya kuahidiwa kuna gari jana. Sasa hiyo lift ya jana shoga ndo mpaka leo nipo mjini. Kuna mtu ananitafutia lakini. Inshallah kesho nitasafiri
Pole dear... kesho utasherehekea ukiwa na kauchovu ka safari ..ila cha muhimu kufika salama
 
Ila ni kweli kipindi hiki cha sikukuu Costa zinakuwepo za kutosha tu sema kam hapendi safari za kuunga atapata shda maana huwa zinachosha....ila kuna Costa ambazo huwa zinafanya safari kati ya Rombo na dar kipind cha Christmas kama hiv
nakwambia hata fuso ningepandaaa hahaha, ilmradi pesa ipo. asiwe mwoga tu
 
hahahahah hapo mbuzi kama zotee, mamsera nawakubali hapo tuu, aisee next season if God grants us ntakuja usijali.
karibu mkuu na tarakea ndo maskani
Ahsante mkuu... Nitakaribia tarakea siku moja...halafu mamsera kuna nyama matata za mbuzi pale kwa mwarabu na shia yaan huwa nataman nitoke faster nikale hapo...ila naona soo hahahahahahahahahah
 
Ahsante mkuu... Nitakaribia tarakea siku moja...halafu mamsera kuna nyama matata za mbuzi pale kwa mwarabu na shia yaan huwa nataman nitoke faster nikale hapo...ila naona soo hahahahahahahahahah
hhahaha pole my dear. nitakuja hakika, utaniambia tuu wataka kutembea wapi, mkuu aa tarakea. karibu ndugu
 
Kiukweli kabisa inauma kukosa fursa kama hii ya kujumuika na familia. Ni wakati wa kujumuika na kujichunguza umepiga hatua gani katika maisha na kusahihisha pale ulipokosea. Akili inakua imetulia kabisaa.
Nawaonea sana wivu waliobahatika kwenda mikoani. Warombo wenzangu mutuwakilishe vyema huko. Tunajua nauli ya kurudi mjini haikosekaniki kabisa[emoji23][emoji23] mkikata mikungu miwili ama mitatu nauli tayari ya kurudi mjini.
Sisi tumeona tubaki tunauza uza bwana tukifunga wote maduka wazaramo watakosa huduma. Zaidi namiss parokiani kwetu mkuu na kona zile za kutoka marangu mtoni, umkuu, mashati, usseri mpaka tarakea. Nitawamiss machalii wangu wa ara na moh town kwa ujumla.

Niwatakie heri ya sikukuu ya Christmas na mwaka mpya wanakaskazini wote na wanajamii media kwa ujumla.

With love... PendoView attachment 975990
Niko Usangi Mwanga Kilimnjaro Tanzania upareni hala msudu makandeni

Karibunii
 
hahahaha mbudhaa, dukeri ustali maakwa. na haadiha saidi ni vasungu veisha. adhuali dukashinga cheva aja?
Kolya iu ustali kyevaku...utasheejishirwa kasi bure maisha ave maumu...vumilia tiki maakwa pasaka wejemeinengwa kalikiso ukasha na kaa chapu
 
Back
Top Bottom