Wakati wa Katiba Mpya ni sasa

Wakati wa Katiba Mpya ni sasa

mfanyakazfake

Member
Joined
Feb 14, 2023
Posts
23
Reaction score
42
Spika wa bunge, msemaji wa serikali na Waziri mkuu wanamjibu nani kuhusiana na hili sakata la bandari kuuzwa?
Je wanawajibu wananchi au Wabunge waliuopotasha umma au wanawajibu DP World? Tunahitaji kujua walikosimama wao wakati wakitoa hoja zao.

Sina hakika kama wanajua wanachokifanya! kama wanajua sidhani kama wana nia njema na Taifa letu! Na kama wana nia ovu ni wakati wa wao kujitathmini kama wanafaa kwa nyadhifa walizonazo.?
 
Back
Top Bottom