Pole sana mkuu! Ila usijali,mim hapa nilipo hata kaz haiendi, uzuri tu ni yangu! Kuna mschana niliwekeza kwake Moyo wangu kama dhamana ya Penzi langu kwake! Jana ndo nimeelewa ule msemo kuwa ukipenda usimuonyeshe kwa asilimia mia moja! Nilikuwa sina kawaida ya kupekua cm yake,niliyoyakuta jana ni bora nisingeigusa kabisa! Jmosi tulikubaliana kuwa jpili(jana)tutashinda wote faragha kwa sababu huwa siko nae mda mwingi kwan bado yuko chuo,mwanzon alikubali,ila ucku akaniambia hali yake imebadilika,skujali nikasema basi tutapiga story tu! Asubuhi(jana)nikamtumia msg nikimueleza mahali tutakapokaa!msg haikujibiwa,nikampigia sm mara tatu,!sim haikupokelewa! mbaya zaidi mpaka inafka saa kumi nilikuwa sijui nin kinaendelea!nikampigia tena akapokea nakunieleza kuwa alikuwa na mama yake mdogo mahali!sikujali,tukakutana saa kumi hiyo mahali tulipoona panafaa!wakati tunaendelea na maongez yeye alikuwa na kaz nyngne ya kuchat!nikakasirika nikachukua sim yake! DAAAAAH....HADI HURUMA!KUMBE MDA WOTE ANANIAMBIA HAYUKO VIZURI,HAPOKEI SIMU, MARA YUKO NA MAMA YAKE MDOGO,KUMBE WALIKUWA FARAGHA WANAFAIDI URODA kwan mda ule walikuwa wanapongezana kwa maufundi waliyoonyeshana kwenye shughuli iliyoisha mda mfupi! Nilivyochukua sim ,mwanzo alitetemeka na baada ya hapo akakana kabisa huku akinitupia lawama kuwa simuamini! Hapa nilipo akili imeganda ila thread yako imenigusa sana!KWELI WASICHANA WA Dot.COM nashindwa hata namna ya kuwajadili!