Wakati wa kufanya mapenzi ni kero gani huwa unakutana nayo?

Uzi unafrahisha huu[emoji16]

Harufu kali,si mnakula wa mafungu[emoji41]
 
kuna mamende wakiona hivo basi wao ndo mzuka unawapanda😂
 
Kwan sebule inazuia nn mzee baba, wenzako tunanzia hata jikoni.
Anzia hapohapo alipofikia, vita haichagui chaka
 
Kwan sebule inazuia nn mzee baba, wenzako tunanzia hata jikoni.
Anzia hapohapo alipofikia, vita haichagui chaka
Si ndo hapo! Liamshe popote pale, tena hao ndo ma slay queen anataka umuwekee na zile nyimbo za taratiibu, sasa kumkomoa akifikia sebuleni weka Sugu moto chini aaa Sugu moto chini eee kadri jimbo linavyokwenda na we jitahidi mara umeshika titi mara ta*** akiona mambo yametindinganya ye mwenyewe atakwambia babe twende...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…