Wakati wa kufanya mapenzi ni kero gani huwa unakutana nayo?

Wakati wa kufanya mapenzi ni kero gani huwa unakutana nayo?

Candida (yeast infection)
Acha kupotosha, wanawake wote wanatokwa na hyo discharge na inavary depend on cku kwenye mzunguko wake na kuna kipindi unakua mwepesi inashiria kua ovulation imeshatokea na kuna mengi juu ya hyo discharge so acha kupotosha.
 
Unakuta guy wangu simu inaita ovyoo halafu kila saa anaipokea tunaanza mwanzo .
Halafu jingine mlango wake unagongwa gongwa anafungua tunaanza mwanzo hakunaraha hadi mtu unaona bora uendee.
Kipindi hicho kabla ya break ups
Poleeee sana.
 
Hua akili inanituma hivyo ila badala yake yeye hua ananimbia "nakupenda sana naomba usije kuniacha" huku vimachozi vinamlengalenga.
[emoji28][emoji28] imebidi nicheke tu, eti huku vimachozi vinamlengalenga...!
 
Back
Top Bottom