Wakati wa kufanya mapenzi ni kero gani huwa unakutana nayo?

[emoji13][emoji13][emoji13] umenichekesha sana! Kuna rafiki wa rafiki yangu aliwahi kutuambia jamaa yake wakati wa mahanjamu anamwambia tulia nikupe raha basi bibie anabaki kama mkaratusi ulioanguka..
 
Mkaratusi ulioanguka😂😂😂 ila kweli kuna wakaka hawapendi uzungushe mauno wala ujipindue pindue, wanataka utulie tu, yeye ajipimie🤗
 
Mkuu ndo mahaba yenyewe hayo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…