Wakati wa Magufuli utiaji saini mikataba mikubwa kama LNG, kungekuwa na wawakilishi wa makundi yote

Corticopontine

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2019
Posts
666
Reaction score
1,277
Wakati Magufuli akiwa Rais kwenye tukio kama la utilianaji saini wa mradi wa LNG tungeona wabunge, mawaziri, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama nk.

Tungesikia nguvu ya ushindi ya Watanzania wakipewa sauti ya kizalendo lkn kwa Sasa hv wanatiliana saini utafikiri Mali yao binafsi.
 
Ni kama unasema kwa sas HAKUNA ushirikishwaji wakati kule kwa mzee wa kazi mlikuwa mnashirikishwa sana sana hadi wana zengo.
Ety???
 
wakati Magufuli akiwa Rais kwenye tukio kama la utilianaji saini wa mradi wa LNG tungeona wabunge, mawaziri, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama nk

tungesikia nguvu ya ushindi ya Watanzania wakipewa sauti ya kizalendo lkn kwa Sasa hv wanatiliana saini utafikiri Mali yao binafsi
Yalikuwa maigizo ya kutafuta sifa za kijinga...

Toka alivyoanza kuweka mawe ya msingi na kuzindua Ujenzi wa Bomba la Uganda hadi leo hii hakuna Mkandarasi site.
 
wakati Magufuli akiwa Rais kwenye tukio kama la utilianaji saini wa mradi wa LNG tungeona wabunge, mawaziri, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama nk

tungesikia nguvu ya ushindi ya Watanzania wakipewa sauti ya kizalendo lkn kwa Sasa hv wanatiliana saini utafikiri Mali yao binafsi

Alichokuwa anafanya Magufuli ni kusaka kiki za bei rahisi. Wale watu aliokuwa anawaita kushiriki kwenye utiaja saini ya hiyo mikataba, hakuna hata mmoja aliyeona nini kimeandikwa humo ndani. Wote walikuwa wanahadithiwa tu kilichomo ndani, lakini hakuna aliyeshudua hata kurasa 2 za kilichomo ndani. Kwa bahati mbaya wenye uelewa mdogo kama nyie mliamini ule ndio uwazi wa mikataba!
 
Magufuli alichokuwa anafanya ni ushamba na ulimbukeni tu
 
Alichokuwa anafanya Magufuli ni kusaka kiki za bei rahisi. Wale watu aliokuwa anawaita kushiriki kwenye utiaja saini ya hiyo mikataba, hakuna hata mmoja aliyeona nini kimeandikwa humo ndani. Wote walikuwa wanahadithiwa tu kilichomo ndani, lakini hakuna aliyeshudua hata kurasa 2 za kilichomo ndani. Kwa bahati mbaya wenye uelewa mdogo kama nyie mliamini ule ndio uwazi wa mikataba!
Mmepakatwa hadi kwenye kona na bado
 
wakati Magufuli akiwa Rais kwenye tukio kama la utilianaji saini wa mradi wa LNG tungeona wabunge, mawaziri, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama nk

tungesikia nguvu ya ushindi ya Watanzania wakipewa sauti ya kizalendo lkn kwa Sasa hv wanatiliana saini utafikiri Mali yao binafsi
Kazikwe nae sasa kenge wewe
 
Uwazi hatuuwezi.kipindi Cha magufuli nchi ilikuwa inakopa je hiyo mikataba ilisemwa?
 
Yule chizi alikuwa anaimba uzalendo lkn anaongoza nchi kimaigizo na kidikteta.

Anaalika watu wa makundi tofauti tofauti kwenda kuhudhuria utiaji saini wa mkataba ambao hata hawajui kilichoandikwa.

Mama hataki hayo maigizo. Wanaenda kutia saini wanaoufahamu nq hazihitajiki mbwembwe ktk hilo.

Diikteta jiwe alikuwa msanii sana
 
Wakati Magufuli akiwa Rais kwenye tukio kama la utilianaji saini wa mradi wa LNG tungeona wabunge, mawaziri, wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama nk.

Tungesikia nguvu ya ushindi ya Watanzania wakipewa sauti ya kizalendo lkn kwa Sasa hv wanatiliana saini utafikiri Mali yao binafsi.
Kila zama na kitabu chake kama ww bado uko na zama za magufuli nenda chato ukazikwe nae
 
Back
Top Bottom