Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
- Thread starter
- #81
Mkuu nchi inaweza kuzuia calamities. Calamities zinazotokea hapa ni sababu ya mabadiliko ya hali ya hewa, ambayo wataalamu pale Ofisi ya Makamu wa Raisi wanaelewa kabisa na hata huwa wanatengeneza ripoti nini wapi tutaathirika na nini kinaweza kufanyika kwenye taarifa inaitwa Climate change vulnerability and adaptationSasa aliokwambia nchi inatakiwa kuzuia natural calamities ni nani?
Kinachoweza kufanyika ni kuwa na mamlaka ya serikali kama TMA ambayo inasaidia kusoma alama za nyakati kuhusiana na hali ya hewa na kutoa tahadhari mapema.
Hao ma shwaini wa Jangwani wameshapigiwa kelele kwa miaka na miaka. Wahame ila wanajitia ujuaji😂😂😂 waache wapate hasara. Niko na Magufuli katika hili.