Wakati wa mvua na mafuriko Dar es Salaam ndipo somo kwamba madaraja ya baharini sio kipaumbele cha kwanza kwa wakazi wa Dar litaeleweka!

Mkuu nchi inaweza kuzuia calamities. Calamities zinazotokea hapa ni sababu ya mabadiliko ya hali ya hewa, ambayo wataalamu pale Ofisi ya Makamu wa Raisi wanaelewa kabisa na hata huwa wanatengeneza ripoti nini wapi tutaathirika na nini kinaweza kufanyika kwenye taarifa inaitwa Climate change vulnerability and adaptation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…