ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Mtumishi wa serikali ni mwanachi aliebahatika kupata ajira tu lakini hana mchango wowote kwenye kura anachojua ni wizi na uvivu kazini.Tutakutana kwenye uchaguzi.
Siku ukiacha kula kwa shemejiako ndio utaona ubaya wa hayo matozo yanayoishia kuliwa na mafisadi.Huwa nasema mara nyingi sana kwamba Tanzania hii Serikali inadekeza sana Watu hasa wa Mijini..
Imagine mtu anakataa tozo ya mafuta Shilingi 100 ambayo inatakiwa Kujengea Barabara ila Barabara anazitaka.
Kama Mfanyakazi wa Umma anakatwa Asilimia 3% Kila Mwezi hiyo ni zaidi ya 10,000 Kila Mwezi eti Kwa Ajili ya Kujengea Watu Nyumba kana kwamba huyo Mfanyakazi ndio amesababisha watu kuwa Maskini na kukosa makazi..
Tozo na Kukatwa salary kipi Bora?Siku ukiacha kula kwa shemejiako ndio utaona ubaya wa hayo matozo yanayoishia kuliwa na mafisadi.
Sh.100 vs 10,000 ipi kubwa?Post kama hizi huwa nazichukulia tu kama za watu ambao wana andika tu bila research.
Hivi unajua mafuta hadi yafike Tanzania ni wastani wa shs 1900 kwa lita Ila yanawekwa kodi karibia ya shs 1000 kwa lita na kuzwa kwenye pump karibia shs 3000? kwa Lita
Sina hakika kama unajua ulicho kiandika....
Hata ziwe Kodi 100 so long as ni affordable hakuna shida..yaani huna uwezo wa kuchambua mambo, nimekuambia Tanzania lita ya mafuta ina kodi karibia ya shs 1000.
Inamaana basi likiweka mafuta kwa mara moja tu ( lita 260) limechangia shs 260,000. kwa siku. Ha[o sijaongelea magari madogo madogo.
Kwa hiyo kwa akili yako ndogo unaona Basi kuchangia kodi ya shs 100,000 hadi 300,000 kwa siku kupitia mafuta ni hela ndogo sana hivyo waongezewe 100?
Unajua tozo ya REA kwenye luku, ni kwa ajili gani?Sh.100 vs 10,000 ipi kubwa?
Ndo maana nasema sometimes tumieni Akili. Badala ya kuimarisha mifumo ya kudhibiti upotevu wa pesa za Uma mnazidi kuimarisha unyonyaji wa wananchi Kwa kuweka tozo kila eneo ovyoovyo.wewe unatakiwa upigwe vita na kila mtanzania Kwa mawazo yako haya.Huwa nasema mara nyingi sana kwamba Tanzania hii Serikali inadekeza sana Watu hasa wa Mijini..
Imagine mtu anakataa tozo ya mafuta Shilingi 100 ambayo inatakiwa Kujengea Barabara ila Barabara anazitaka.
Kama Mfanyakazi wa Umma anakatwa Asilimia 3% Kila Mwezi hiyo ni zaidi ya 10,000 Kila Mwezi eti Kwa Ajili ya Kujengea Watu Nyumba kana kwamba huyo Mfanyakazi ndio amesababisha watu kuwa Maskini na kukosa makazi..
Vyote vinaenda Kwa pamoja.Ndo maana nasema sometimes tumieni Akili. Badala ya kuimarisha mifumo ya kudhibiti upotevu wa pesa za Uma mnazidi kuimarisha unyonyaji wa wananchi Kwa kuweka tozo kila eneo ovyoovyo.wewe unatakiwa upigwe vita na kila mtanzania Kwa mawazo yako haya.
Exquisite [emoji7][emoji7]Huwa nasema mara nyingi sana kwamba Tanzania hii Serikali inadekeza sana Watu hasa wa Mijini..
Imagine mtu anakataa tozo ya mafuta Shilingi 100 ambayo inatakiwa Kujengea Barabara ila Barabara anazitaka.
Kama Mfanyakazi wa Umma anakatwa Asilimia 3% Kila Mwezi hiyo ni zaidi ya 10,000 Kila Mwezi eti Kwa Ajili ya Kujengea Watu Nyumba kana kwamba huyo Mfanyakazi ndio amesababisha watu kuwa Maskini na kukosa makazi..
Kumbe wewe ni "sarcastic" eee?!![emoji1787][emoji1787]Siku ukiacha kula kwa shemejiako ndio utaona ubaya wa hayo matozo yanayoishia kuliwa na mafisadi.
Hofu yako tu....Mwigulu kapata reference, tujiandae kwa kitu kizito.