Wakati wa TFF Kuonyesha ‘ Makucha ‘ yake dhidi ya Klabu za ‘ Wahuni ‘ ni huu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kama Klabu haitaki Kuvalia Jezi yenye Nembo Nyekundu ya Mdhamini ifutwe kabisa

Kama Klabu inatetea ‘ Ukipa Katoka / Upumbavu ‘ wa Kocha wake ifutwe mara moja

Kama Klabu inahamasisha Fujo katika Ligi Kuu ifutwe mara moja

Kama Klabu inataka kuleta ‘ Uintarahamwe / Ugaidi ‘ katika Soka la Tanzania ifutwe mara moja

Kama Klabu inataka Kuipanda Kichwani TFF ifutwe mara moja

Kama Klabu kutwa inahamasisha Uhuni kwa Mashabiki wake ifutwe mara moja

Kama Klabu kila mara inabishana na TFF ifutwe mara moja

Rais wa TFF Wallace Karia huu ndiyo wakati wako na Wewe Kuiga tabia ya Maamuzi Magumu kama aliyonayo Rais wetu Mpendwa Ndugu Dkt. John Pombe Joseph Magufuli dhidi ya Klabu moja ambayo inajidanganya kuwa bila yenyewe Soka la Tanzania halipo.

Wapenda Soka tumeshaichoka hiyo Klabu na ichukulieni hatua zaidi za Kinidhamu ili wengine wajifunze.
 
Halafu mechi yako na ndanda fc unadhani itajaza uwanja na kukupa mamilioni ya shilingi kufuatia makusanyo ya kiingilio?
 
Genge La Wahuni Wachache Wachache Linataka Kuiharibu Club Ya Yanga. Lazima TFF Iimulike Yanga
Nembo Ndiyo Iwe Nongwa.
Najiuliza CAF Ina Nembo Yenye Rangi Ambazo Club Kubwa Africa Wanaitumia Bila KeleleKwenye Jezi Zao
 
Kama Klabu haitaki Kuvalia Jezi yenye Nembo Nyekundu ya Mdhamini ifutwe kabisa

Kama Klabu inatetea ‘ Ukipa Katoka / Upumbavu ‘ wa Kocha wake ifutwe mara moja

Kama Klabu inahamasisha Fujo katika Ligi Kuu ifutwe mara moja

Kama Klabu inataka kuleta ‘ Uintarahamwe / Ugaidi ‘ katika Soka la Tanzania ifutwe mara moja

Kama Klabu inataka Kuipanda Kichwani TFF ifutwe mara moja

Kama Klabu kutwa inahamasisha Uhuni kwa Mashabiki wake ifutwe mara moja

Kama Klabu kila mara inabishana na TFF ifutwe mara moja

Rais wa TFF Wallace Karia huu ndiyo wakati wako na Wewe Kuiga tabia ya Maamuzi Magumu kama aliyonayo Rais wetu Mpendwa Ndugu Dkt. John Pombe Joseph Magufuli dhidi ya Klabu moja ambayo inajidanganya kuwa bila yenyewe Soka la Tanzania halipo.

Wapenda Soka tumeshaichoka hiyo Klabu na ichukulieni hatua zaidi za Kinidhamu ili wengine wajifunze.
Si Karia wala mabwana zake wana ubavu huo. Yanga itabaki kuwa Yanga.
Tunajua Msomali wa Mogadishu anatumiwa na majizi ya Msimbazi kuiyumbisha Yanga. Hawatafanikiwa.

Huna latest news?

Yanga itatumia nembo nyeusi kama zamani.

Mdhamini Voda ana akili timamu. Anajua wana Yanga wengi wanatumia mtandao wake. Hawezi ku risk business yake kwa akili Masaburi za Msomali.

Get the message.
 
YANGA ni kubwa kupita TFF, YANGA ni nembo ya TAIFA, wakati YANGA inashiriki kwenye harakati za kupigania uhuru, Simba Wao walikuwa wanamsapoti mkoloni, kipindi hicho simba inaitwa sunderland ikiwa chini ya wahindi na waarabu.
 
Huu upuuzi umekaa na familia mkajadili au umeandika peke yako? Hakuna klabu ngumu kuifuta nchini kama Yanga. Mm si shabiki wao lakini najua historia ya timu hii. Inaweza kujifuta yenyewe lakini siyo kufutwa. Waulize CCM kindakindaki watakwambia.
 
YANGA ni kubwa kupita TFF, YANGA ni nembo ya TAIFA, wakati YANGA inashiriki kwenye harakati za kupigania uhuru, Simba Wao walikuwa wanamsapoti mkoloni, kipindi hicho simba inaitwa sunderland ikiwa chini ya wahindi na waarabu.
Wakila makombo ya wahindi na waarabu.
Wala makombo hao!
 
Nataka nione ka mpira unaendeshwa kwa sheria au kwa utashi wa timu za Yanga na Simba.
 
Si Karia wala mabwana zake wana ubavu huo. Yanga itabaki kuwa Yanga.
Tunajua Msomali wa Mogadishu anatumiwa na majizi ya Msimbazi kuiyumbisha Yanga. Hawatafanikiwa.

Huna latest news?

Yanga itatumia nembo nyeusi kama zamani.

Mdhamini Voda ana akili timamu. Anajua wana Yanga wengi wanatumia mtandao wake. Hawezi ku risk business yake kwa akili Masaburi za Msomali.

Get the message.
Waache wajifariji. Hii yote ni balaa lililoletwa na wamakonde
 
Kama Klabu haitaki Kuvalia Jezi yenye Nembo Nyekundu ya Mdhamini ifutwe kabisa

Kama Klabu inatetea ‘ Ukipa Katoka / Upumbavu ‘ wa Kocha wake ifutwe mara moja

Kama Klabu inahamasisha Fujo katika Ligi Kuu ifutwe mara moja

Kama Klabu inataka kuleta ‘ Uintarahamwe / Ugaidi ‘ katika Soka la Tanzania ifutwe mara moja

Kama Klabu inataka Kuipanda Kichwani TFF ifutwe mara moja

Kama Klabu kutwa inahamasisha Uhuni kwa Mashabiki wake ifutwe mara moja

Kama Klabu kila mara inabishana na TFF ifutwe mara moja

Rais wa TFF Wallace Karia huu ndiyo wakati wako na Wewe Kuiga tabia ya Maamuzi Magumu kama aliyonayo Rais wetu Mpendwa Ndugu Dkt. John Pombe Joseph Magufuli dhidi ya Klabu moja ambayo inajidanganya kuwa bila yenyewe Soka la Tanzania halipo.

Wapenda Soka tumeshaichoka hiyo Klabu na ichukulieni hatua zaidi za Kinidhamu ili wengine wajifunze.
Mleta Uzi kajinyonge. Bravo Vodacom kwa maamuzi yenu juu ya rangi ya nembo itakayotumiwa na klabu yetu pendwa Yanga sc.
 
Back
Top Bottom