GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kama Klabu haitaki Kuvalia Jezi yenye Nembo Nyekundu ya Mdhamini ifutwe kabisa
Kama Klabu inatetea ‘ Ukipa Katoka / Upumbavu ‘ wa Kocha wake ifutwe mara moja
Kama Klabu inahamasisha Fujo katika Ligi Kuu ifutwe mara moja
Kama Klabu inataka kuleta ‘ Uintarahamwe / Ugaidi ‘ katika Soka la Tanzania ifutwe mara moja
Kama Klabu inataka Kuipanda Kichwani TFF ifutwe mara moja
Kama Klabu kutwa inahamasisha Uhuni kwa Mashabiki wake ifutwe mara moja
Kama Klabu kila mara inabishana na TFF ifutwe mara moja
Rais wa TFF Wallace Karia huu ndiyo wakati wako na Wewe Kuiga tabia ya Maamuzi Magumu kama aliyonayo Rais wetu Mpendwa Ndugu Dkt. John Pombe Joseph Magufuli dhidi ya Klabu moja ambayo inajidanganya kuwa bila yenyewe Soka la Tanzania halipo.
Wapenda Soka tumeshaichoka hiyo Klabu na ichukulieni hatua zaidi za Kinidhamu ili wengine wajifunze.