Wakati wa TFF Kuonyesha ‘ Makucha ‘ yake dhidi ya Klabu za ‘ Wahuni ‘ ni huu

Kama hujui yanga ni kubwa kuliko Vodacom na TFF.Yanga ni kubwa kuliko serikali kwa sababu unavyoiongelea Yanga unaongelea Taifa la Tanzania.Unaongelea nchi.Hata serikali haiwezi kuifuta Yanga.Labda hujui ni kwa nini ina neno "Africa".Yanga ni Africa.Yanga itadumu milele lakin TFF itapita,serikali itapita.Vodacom itaoita Africa itadumu milele.
 

Endeleeni tu kujifanya mna ' Akili za Kipa Katoka / Kipumbavu ' ila TFF ya sasa ya Wallace Karia ndiyo itawanyoosheni na mtakoma.
 
Mlivyong'oa viti mlifutwa? Mlivyowapulizia sumu Al Ahly, Vita mlifutwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…