Elections 2010 WAKATI WA VIJANA WA CUF TANZANIA BARA KUUNDA CUF-Tanganiyika UMEWADIA!!!!

Elections 2010 WAKATI WA VIJANA WA CUF TANZANIA BARA KUUNDA CUF-Tanganiyika UMEWADIA!!!!

bila kusahau kua chadema nichama cha kikatoliki kwa 100% uchaguzi uliopita hakuna asiejua kua wafazili wakuu wakampeni za chadema ilikua nimakanisa,na slaa ktk kampeni alikua analala makanisani,na ushahidi tunao hata mbeya swanga na mpanda alilala ktk makanisa ya katoliki,mwenye kubisha abishe nimwage data live hapa,wachen kuwafanya watz wajinga,tumewastukia mlitaka kuibatiza nchi mkishinda ila mungu amewalani,na hamtotawala nchi hii mpk kiama kama mnataka kuitawala kikatoliki.

Kichwani mweupe kabisa,umetoa mawazo mepesi nakusikitikia sana!
 
Niswali lakujiuliza chama kimoja katibu makamo wa kwanza wa Rais je Mwenyekiti kawa nani??Mabadriko yanahitajika zaidi Tanganyika!!!
 
ukizingatia yale yaliotokea baada ya uchaguzi wa viti maalum ambapo chademaa hawakumpa mgombea wetu mwenza wa darasa la saba hata kiti kimoja wakati umewadia wa kuwa na chademaa-zenj na tusiwape mgombea mwenza tena mpaka kieleweke kuhusu mgao wa ndani ya mjengo....ombi langu kwa chadema-zenj kujiengua na chadema-mtei kwani misimamo na malengo yao inahatarisha muungano

Viti maalum ni vya wanawake tu. Jambo ambalo linanisikitisha wana jf ni kuwa Prof Lipumba (mlima Kilimanjaro) ameachwa solemba na wenzake. Maalim Seif Mungu akupe nini, yeye anaongozwa na ving'ora, Duni Haji Ah Mungu akupe nini? sasa wamemwacha Prof huku bara, helpless. Nadhani ili kudumisha maridhiano JK anaweza kumkumbuka angalau ubunge ili neno litimie kuwa CUF ni 'CCM B'
 
hilo umenena mwanangu lakini umechelewa mno cuf imesha pasuka mapande wewe hapo ulipo ni cufMageuzi je cufUdini mtaelewana ambao mbegu hiyo imepandwa na cufUpemba na utawaeleza nini cufCcm wakuelewe mwana ushauri wangu ili tusicheleweshe mabadiliko ambayo yanakuja na lazima yapo basi hamasisha vijana wenzio ambao ni cufmageuzi mjiunge huko CHADEMA haraka vijana mnaitwa kwa nguvu ya TANO A luta continua!

CUFudini
CUFccm
CUFpemba
CUFUnguja
and you want CUFbara

CUF is absolutely in a big mess!
Prof Safari yuko CUF ipi?
 
unajua huwa inakuwa inatia huruma sana watu wawili waliokuwa kwenye confrontation wanapoamua kuungana, mmoja ana moyo wa kweli kabisa anataka kuungana , mwingine anajifanya kuwa anaungana na mwenzie kumbe anamvizia akijisahau tu ammalize kabisa..ndo cuf. wanafikiri ccm wanawapenda, wanawavizia, ndo urafiki wa machoni tu huo.
 
:disapointed::disapointed::disapointed::disapointed:
bila kusahau kua chadema nichama cha kikatoliki kwa 100% uchaguzi uliopita hakuna asiejua kua wafazili wakuu wakampeni za chadema ilikua nimakanisa,na slaa ktk kampeni alikua analala makanisani,na ushahidi tunao hata mbeya swanga na mpanda alilala ktk makanisa ya katoliki,mwenye kubisha abishe nimwage data live hapa,wachen kuwafanya watz wajinga,tumewastukia mlitaka kuibatiza nchi mkishinda ila mungu amewalani,na hamtotawala nchi hii mpk kiama kama mnataka kuitawala kikatoliki.

Kichwani mweupe kabisa,umetoa mawazo mepesi nakusikitikia sana!

Haha hii nzuri CHADEMA inawaumiza vichwa muanzisha thread anaongelea CUF CDM inatokea wapi potelea mbali huko usilete ujinga hivi mnadhani hayo mambo yenu munayokuza ya dini yatakuja kuwasaidia kiama kikija cha kidini hakuna atakaye pona mkome kabisa musituharibie nchi yetu
 
Umeongea Kinja lakini kuna vitu vichache vinaleta viulizo kwa CUF wanachama wake wengi ni waislam vivyo hivyo kwa Chadema siku moja nilikuwa Airport nikakuta madereva Tax wanasema eti CUf tunapata shida sana mikoa ya nyanda za juu wanakoishi makafiri HUKU AKISEMA HUKO NGURUWE NJENJE SIKU ILE NIKATHIBITISHA KUMBE UDINI UPO cuf NIKAJUA KWANINI MAPALALA ALISEPA.

NAUCHUKIA UDINI
 
bila kusahau kua chadema nichama cha kikatoliki kwa 100% uchaguzi uliopita hakuna asiejua kua wafazili wakuu wakampeni za chadema ilikua nimakanisa,na slaa ktk kampeni alikua analala makanisani,na ushahidi tunao hata mbeya swanga na mpanda alilala ktk makanisa ya katoliki,mwenye kubisha abishe nimwage data live hapa,wachen kuwafanya watz wajinga,tumewastukia mlitaka kuibatiza nchi mkishinda ila mungu amewalani,na hamtotawala nchi hii mpk kiama kama mnataka kuitawala kikatoliki.

Kichwani mweupe kabisa,umetoa mawazo mepesi nakusikitikia sana!

Wewe una utindio wa ubongo kwani akilala kanisani au msikitini kuna tatizo gani ongea mambo ya maendeleo, siyo propaganda huku unalalamika maisha magumu.:angry:
 
..........ukizingatia yale yaliotokea baada ya uchaguzi wa viti maalum ambapo chademaa hawakumpa mgombea wetu mwenza wa darasa la saba hata kiti kimoja wakati umewadia wa kuwa na chademaa-zenj na tusiwape mgombea mwenza tena mpaka kieleweke

Nijuavyo mimi viti maalum ni kwa ajili ya akina mama tu, au wataka tuambia kuwa mgombea mwenza wa SLAA alikuwa na Jinsia ya Kike???.
 
......Ndugu yangu wacha uchochezi,si Hekma kutaka kutugawa wana CUF baina ya Tanzania bara na Zanzibar,CUF ni moja na ni chama cha kitaifa,nakushangaa ndugu yangu sana ndugu yangu,au wewe si M-Tanzania?yaelekea umetumwa tu na wala si mawazo yako.Tuachie CUF yetu na viongozi wetu.hatutaki choko choko.
 
Hao waliisha tundikwa mimba na sisiem ....... wameisha anza kutema mate ..wanaweweseka tuuu
 
Hivi CUF ni Chama Kinachosimama kwa Malengo Gani Tena? Sioni Ukuaji wa Hiki Chama Huku Bara. CUF Inaonekana Inavutia Wananchi wa Dini ya Kiislamu na Sijui Chama Kipi Kinaweza Kusema Kinataka Kukua na Bado Kina Sera za Udini Ndani yake. Mpaka CUF Itakapo Badilika na Kuonekana Inatetea Matakwa ya Watanzania Wote Hakuna Ushindi Bara. Watanzania Wengi Wameshaipa Image CUF "Chama cha Kiislamu" Lazima Tuseme Ukweli Kwa Manufaa ya Wananchi Wote. Huko Zanzibar Tunaona Jinsi Gani CUF Ilivyo na Nguvu ni Ushahidi Tosha. Tunaipa CUF Kazi Kuangalia Sera na Malengo Yake Bara na Tunajua Wanaweza Kufanikiwa Kama Vyama Vingine Bara.
 
hilo umenena mwanangu lakini umechelewa mno cuf imesha pasuka mapande wewe hapo ulipo ni cufMageuzi je cufUdini mtaelewana ambao mbegu hiyo imepandwa na cufUpemba na utawaeleza nini cufCcm wakuelewe mwana ushauri wangu ili tusicheleweshe mabadiliko ambayo yanakuja na lazima yapo basi hamasisha vijana wenzio ambao ni cufmageuzi mjiunge huko CHADEMA haraka vijana mnaitwa kwa nguvu ya TANO A luta continua!

Hii nimeipenda - CUF-MAGEUZI, CUF-UDINI, CUF-UPEMBA na CUF-CCM, kali kuliko zote.

Kimantiki Zanzibar hakuna upinzani nani aibu kwa CUF kwa jumla kujiita upinzani. Kwa bara ili CUF iwe upinzani inabidi ijiweke pembeni na ile ambayo ni sehemu ya serikali kule Zanzibar.

Anyway, hiyo ni ngumu sana as far as UTAMU WA MAMBO HUZIDI UTASHI. Nani asiependa kuambiwa ana wabunge wengi bungeni (huku more than 95% wakitokea Zanzibar) na maruzuku yatokanayo na kuwa na wabunge wa kutoka Pemba na wachache Unguja???

Kwa mtazamo wa unono, haya hayawezekani maana yatawanyima wa bara unono wa vinono
 
......Ndugu yangu wacha uchochezi,si Hekma kutaka kutugawa wana CUF baina ya Tanzania bara na Zanzibar,CUF ni moja na ni chama cha kitaifa,nakushangaa ndugu yangu sana ndugu yangu,au wewe si M-Tanzania?yaelekea umetumwa tu na wala si mawazo yako.Tuachie CUF yetu na viongozi wetu.hatutaki choko choko.

KARIBU SANA JF na inafurahisha tumepata memba wa CUF maana kwa muda sijawaona huku wakikisemea chama.

Hebu nisaidie kufahamu, chama chako ni cha Upinzani au Chama Tawala??? Nilipenda pata mtu wa CUF anitolee utata wa swali hili

Karibu tena JF
 
Back
Top Bottom