kwamtoro JF-Expert Member Joined Nov 15, 2010 Posts 4,922 Reaction score 3,239 May 18, 2016 #1 Wamebakia kufunua makabrasha kushindania yaliyopita. Wa kimataifa aka Young African wanazidi kufyanza mambo. Mimi kwamtoro Mwanachama na mpenzi wa coast union ya Tanga
Wamebakia kufunua makabrasha kushindania yaliyopita. Wa kimataifa aka Young African wanazidi kufyanza mambo. Mimi kwamtoro Mwanachama na mpenzi wa coast union ya Tanga
M Mbojo JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 1,593 Reaction score 1,309 May 19, 2016 #2 Si busara kututukana simba kwa sababu ya mafanikio ya Yanga.Hata sisi tulipokuwa vizuri hatukuwaita Yanga hayo majina ya kipuuzi ya Murro.
Si busara kututukana simba kwa sababu ya mafanikio ya Yanga.Hata sisi tulipokuwa vizuri hatukuwaita Yanga hayo majina ya kipuuzi ya Murro.
KikulachoChako JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 19,185 Reaction score 37,239 May 19, 2016 #3 Masikini akipata....makalio hulia mbwata.....
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,421 Reaction score 18,760 May 19, 2016 #4 Aiseee....!
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 May 19, 2016 #5 Mbojo said: Si busara kututukana simba kwa sababu ya mafanikio ya Yanga.Hata sisi tulipokuwa vizuri hatukuwaita Yanga hayo majina ya kipuuzi ya Murro. Click to expand... usilie lie mjomba....
Mbojo said: Si busara kututukana simba kwa sababu ya mafanikio ya Yanga.Hata sisi tulipokuwa vizuri hatukuwaita Yanga hayo majina ya kipuuzi ya Murro. Click to expand... usilie lie mjomba....
M Mbojo JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 1,593 Reaction score 1,309 May 19, 2016 #6 Hakuna anaelia we ulimakafu,Yanga bado sana,mnatoa matusi as if ubingwa wa CAF mtaupata.umevimbiwa unaanza kudai unakitambi!
Hakuna anaelia we ulimakafu,Yanga bado sana,mnatoa matusi as if ubingwa wa CAF mtaupata.umevimbiwa unaanza kudai unakitambi!