Wakati Wanaojitambua Ghana wanarudisha Raia wao kutoka Ukraine na Urusi, wale Wasiojitambua wako busy Kushangilia Bendera yao Dubai

Tuko busy kushangilia bendera yetu kula Burj, mama anaupiga mwingi!!!
 
Sasa kama Watu ( hasa wenye Tamu zao ) wamesikika BBC Dira ya Dunia wakilalamika kuwa hawana Chakula, Blanketi na sehemu za Kulala unadhani Wazungu wa Poland na Romania 'hawatajisevia' tena kwa 'bwerere' tu kabisa Mkuu?
Hahahahaha,dah nimecheka sana
 
Ndo kwanza serikali ya tanzania imekanusha kuwa haitatuma ndege kwenda poland, wamesema taarifa za uongo zinazosema ndege inatumwa zipuuziwe.
 
Wamekanusha,hakuna ndege iliyotumwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…