Wakati wao wasanii na watangazaji sasa kuishi maisha halisi

Hapo ndio wanakwama wasanii wetu...Angalia show akipiga meek mill au 2chainz unawekewa mzigo juu ya mzigo mpaka unafurah..hakuna mikono juu
Mimi napenda shoo kama hizo sio zile za kuadhibiwa ..Yaan wasanii wa bongo wanatakiwa wawe wabunifu kwa upande wangu siend shoo ya kibongo hata bure ila music na video zao napenda ila ktk shoo hamna jipya said ya kuonyesha mavaz na kufuatilia cd
 
Nimeona akina mboso na lava lava walivyokosa mwelekeo baada kupewa muda mfupi .walixoea wasemeshe watu na kuwaimbisha!
Kwangu walioperform vyema ni wageni wetu ,twanga na academia,bi kopa ,prof feruzi chid haroun na nature wasaf wameniangusha
Weka mziki mwanzo mwisho sasa mtu kila muda mikono juu mikono juu mpaka muda unaisha
 
Mk
Mke wa Kusaga si yo mmiliki pekee wa Wasafi Media. Yeye ni majority shareholder tu. Anao wamiliki wenzake wawili ambao nao ni wanahisa.
Ndie mwenye Hisa kubwa kuliko wengine lakin sio mmiliki pekee
 
Show moja tu mnafananisha na Fiesta?fanyeni miaka kumi mfululizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…