JONASON
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 461
- 702
Mimi napenda shoo kama hizo sio zile za kuadhibiwa ..Yaan wasanii wa bongo wanatakiwa wawe wabunifu kwa upande wangu siend shoo ya kibongo hata bure ila music na video zao napenda ila ktk shoo hamna jipya said ya kuonyesha mavaz na kufuatilia cdHapo ndio wanakwama wasanii wetu...Angalia show akipiga meek mill au 2chainz unawekewa mzigo juu ya mzigo mpaka unafurah..hakuna mikono juu