Wakati wasanii wetu wanafanya show na wanasiasa, Davido apiga shows na 50 Cent na Chris Brown


Hahaha!!! Karibu sana Bi Chau.

Nyie ndiyo mnashikilia mapepo ya ujinga yanayoendelea kusumbua vijana wa kitanzania. Mkiona mtu anataka kuwaelimisha na kuwainua mnatoa makucha yenu kuwabakiza kwenye kiza. Kafieni baharini ( Mark 5:10-20)!
 
Hahaha!!! Karibu sana Bi Chau.

Nyie ndiyo mnashikilia roho za ujinga zinazoendelea kusumbua vijana wa kitanzania. Mkiona mtu anataka kuwaelimisha na kuwainua mnatoa makucha yenu kuwabakiza kwenye kiza. Kafieni baharini ( Mark 5:10-20)!
😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎 si shangai ndio level yako kufikiri imegotea hapo.
 
😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎 si shangai ndio level yako kufikiri imegotea hapo.

Mbona unasahau kutumia hizo ID zingine kulike post za ID hii? Na mimi mbona unanibania likes au unaona nitafaidi sana?

Kama nilivyowaamuru, nendeni mkawaingie nguruwe kama mlivyoomba halafu mkafie baharini (Mark 5:10-20).

Nilizaliwa Ijumaa ila usidhani ni Ijumaa iliyopita!
 
😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎
 
We jamaa lofa sana!! Mada unaanzisha mwenyewe halafu oh, unang'ang'ania yasiyo na msingi!! Sasa kwanini ulete mambo yasiyo na msingi?

Btw, hivi huoni kabisa kwamba ni wewe ndie unaandika upuuzi?! Unaleta vipi hoja kisha watu wanakuuliza unadai hiyo haina msingi?!! Kwanini ulete hoja isiyo na msingi kama sio uzwazwa?! The problem unadhani upo smart kumbe hamna kitu!

Jibu maswali niliyokuuliza, maswali ambayo yametokana na hoja yako mwenyewe... acha kuruka ruka! Anza na lile dogo, ni akina nani hao wanaotamani kutoka kupitia Series ya Power?!
 
Kumbe uliandika kutarajia upate Likes? Kwahiyo hata kama umeandika utumbo bado ulitarajia upewe likes kwa utumbo ulioandika?!
 
Mie nadhani ni management,hao akina Salah hawangaiki kum promote Diamond huko kwa Trump ama Uk...badala yake wanatafuta ki stratergically wasanii wa Africa kufanya Kolabo, Wangejua sometimes wangejifunza kutoka kwa wasanii kutoka mbele kuna wasanii walivuma na baadae wakapotea kwenye Music,kuwa na kipaji haimaanishi utaimba forever,it is talent when meet with good management ndio itakufanya ubaki juu... mimi ningekua manager wake Dai ningehakikisha anakua busy throughout the year, ma collabo ya kufa mtu😂😂😂😂😊😊😊😊, huwezi kujua after five years hutokua na nguvu tena ya kusimama jukwaani, so make the most while you are at it....
 
Baada ya maelezo yooote niliyotoa, umeng'ang'ania mambo yasiyo ya msingi na somo lenyewe halijakuingia unaendelea kushikilia ujinga wako.

Ungekuwa darasani, bakora zingekuwa zinakuhusu.
Sio nimeng'ang'ania endelea kuwatukuza mabahasha wako wa kimarekani.
 
Bodi ya Wakurugenzi ya Uzi huu inawaomba radhi ndugu wasomaji. Tulivamiwa na viwawi jeshi wachache na mmoja anayetumia Multiple IDs.

Tumeweza kulitatua tatizo hilo na tunaendelea na program zetu kama kawaida.
 
Power siyo Show ya 50cent sijui kwanini watu mnafiria hivyo. 50cent alishirikishwa kwasavabu ana experience ya mtaa na drug business
 

Pointless kabisa.
Unasema haujamshambulia mtu lakini its all about SIMBA juu
sijui kwa nini mnapenda kulazimisha Ali Kiba awe level moja na Daimond---ni kama umlinganishe Ronaldo na Kagere
Shows za nje SIMBA mwaka huu amepiga za kufa mtu..hapa huna point pia
Collabo na heavy weights zimempatia SIMBA views na followers wengi sana - na akapiga mpunga mrefu...Hata mtu asiye na akili kabisa boya hawezi kukuelewa eti mtu atoke Tanzania akafanye collabo na underground USA?? hopeless
Mkuu umeandika pumba sana hapo juu...mi sina team!
 
Mbona suala la wasanii kutumia vyama vya siasa kama sehemu ya kujipatia kipato hilo nalo kwa nini haujalitolea ufafanuzi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…