Unadhani babu yako mzaa babu yako kipindi hicho alikuwa anafanya nini ? Alexander the Great alikufa akiwa na miaka 32 tu ila hapo alisha-conquer empires za kufa mtu....
Its all in perspective..., Hata huku Bongo kuna watu wanafanya makubwa..., Kuna story ya jamaa mmoja akiwa na miaka 6 Baba yake amefariki kwenye msiba Mama yake anamwambia wewe ndio umekuwa Baba hao wadogo zako wote waangalie..., Dogo anakwambia hapo hapo alikuwa mtu mzima na utoto ukaisha alianza kuuza karanga na biashara zote zilizo karibu na kujisomesha (kipindi ambacho kusoma / usongo ulikuwa sio deal) sasa hivi ni mtu mwenye kipato cha kutosha na maisha mazuri na wadogo zake wote na mama yake aliweza kuwainua...
Moral of the Story ni mazingira husika na kufanikiwa inategemea unatokea wapi kwa kipofu kuweza kutumia dakika 1 kukimbia mita 100 huenda its more of an effort kuliko Hussein Bolt kukimbia Sekunde anazokimbia....