"Wakati watu wanalia kuhusu kikokotoo nilikuwa naona kawaida, sasa nimeona ukali wake" Mtumishi aliyeambulia 10M baada ya kustaafu miaka 33 Magereza

CGP kirefu chake nini?
Commissioner General of Prison

Ndio mkuu wa magereza kama alivyo mkuu wa polisiCCM IGP.

Hawa huwa hawaumii na wanachofanyiwa wa chini yao maana huwa ni sehemu ya wakandamizaji hivyo ili wasiwashe moto wanapostaafu hulipwa posho nono na kuendelea kutunzwa ,kupewa nafasi za kimaamuzi kwenye bodi mbalimbali au ubalozi.
 
Commissioner General of Prison

Ndio mkuu wa magereza kama alivyoi mkuu wa polisiCCM IGP.

Hawa huwa hawaumii na wanachofanyiwa wa chini maana huwa ni sehemu ya wakandakmizaji hivyo ili wasiwashe moto wanapostaafu hulipwa posho na kuendelea kutunzwa ,kupewa nafasi za kimaamuzi kwenye bodi mbalimbali au ubalozi.
Ahaa sawa, kuna siku niliona Vieitee ina Plate number CGP, nikashindwa kuitambua halafu ilikuwa na escort
 
Kwani Askari magereza hawapati Ile pension ya kila mwezi baada ya hizo hela za mkupuo?
Hiyo fedha ya kila mwezi watumishi hatuitaki wapewe wanasiasa wanaolipwa pesa nyingi maana tayari wanastaafu wakiwa na Daladala, lodge, fremu Kariakoo n.k.
Sisi tunataka huge cash ili tufanye jambo tuliloshindwa kufanya tukiwa watumishi kwa miaka mingi.
 
Mara nyingi tunajiona tuko salama, tunafikiri mabadiliko, kanuni, sheria za kigandamizi zinazofanywa na watawala hazituhusu sisi hasa hawa watumishi wa uma; watu wa magereza, wanajeshi, maaskari police, watumishi wa almashauri, walimu, mahakimu n.k.

Hutashangaa kusikia kada hizi zikikemea wanaopinga kikokotoo kipya, hutashangaa kusikia wakiwapinga na kuwabeza wanaotaka katiba mpya, hutashangaa wakiwabeza wanaowauliza watawala dhalimu maswali magumu na ya msingi kuhusu kubinafsishwa kwa bandari zetu zote na baadhi ya misitu na hifadhi za wanyama. Kinyume utawasikia wakisema hao wana wivu, hawa ni wapinga serikali, hawa hawana akili, wametumwa na mabeberu, hakika watatuhalibia amani na upendo wa nchi yetu

Sasa leo yamemkuta aliyekuwa mtumishi wa Magereza ndugu Shamte (56) staff Surgent alipojikuta akiambulia kiinua mgongo (malipo ya pension ya kustaafu) cha shilingi 21 millioni badala ya shilingi 55 millioni aliyotarajia baada ya kuitumikia serikali kwa miaka zaidi ya 33.Mstaafu huyo aliyasema hayo baada ya kutembelea ofisi za Magazeti ya mwananchi juzi.

"Najiona mfungwa mtarajiwa baada ya kubakia na shillingi 10 millioni kwani shillingi 10 millioni nyingine zimekatwa baada ya kuwa nilikopa chama cha ushirika wa Akiba na Mikopo cha watumishi wa Jeshi la Magereza" alitoa masikitiko yake bwana Shamte akitumia mfano wa mateso ya watu aliokuwa akiwachunga kila siku wakati akifanya kazi gerezani, kwani anajua machungu ya kuwa mfungwa. "Nilitegemea nikanunue shamba la kulima mazao niweze kujisitili baada ya kustaafu sasa haiwezekani, sioni mbele maisha yatakuwaje" bwana Shamte akitoa sentensi kuashiria kukata tamaa ya maisha

"Wewe ndugu, utaratibu wa malipo ya pensheni halipi CGP, waziri husika au katibu mkuu, utalipwa kulingana na michango yako" hayo ndiyo majibu ya kifupi na kukatisha tamaa aliyopewa mtumishi mstaafu ndugu Shamte kutoka kwa wakuu wake baada ya kupata ujumbe wa kiasi atakacholipwa.

Swali la kujiuliza ni, je ? tuko akina Shamte wangapi? akina shamte ambao tunakubali kila kitu watawala wanachopitisha kwa manufaa yao, akina shamte tunaokuwa wa kwanza kuwanyooshea vidole wale wachache wenye akili timamu na uthubutu wa kuhoji haya mabadiliko dhalimu kwa niaba na manufaa yetu, utasikia hawana akili hao, utasikia wamechanganyikiwa hao, nakwambia utasikia wametumwa na wazungu , mabeberu. Wengi wetu tunafikili madhara ya sheria dhalimu , mabadiliko kandamizi haya hayatuhusu sisi, yanawahusu wale tu wanaolalamika.

Hakika bwana shamte amekumbuka shuka wakati kunakucha , amekumbuka jinsi alivyokuwa akiwadharau waliokuwa wakipinga kikokotoo kipya na pengine alishiriki kuwahadhibu walipopelekwa gerezani alikokuwa akifanya kazi, hakika alimalizia kwa kutubu na kusema "Wakati watu wanalia kuhusu kikokotoo nilikuwa naona kawaida,sasa nimeona ukali wake.

Swali la msingi ni, Je...? wewe na mimi tumejifunza nini katika kisa mkasa hiki cha mstaafu Shamte?
Ngoja niwaite timu chawa waje watie neno maana nyuzi kama hizi huwa hawazioni..
Lucas Mwashambwa,
Tlaatlaah
 
Nadhani ni 'Commissioner General of Prison'
Kumbe ni sahihi.
Screenshot_20240517-180543.jpg
 
Thank,

Nilijua CCM ni wezi tangu 2005,nikahapa sitalipa Kodi ya PAYE, namshukuru Mungu,
Niliona Bora nijiajiri kuliko kuibiwa
 
Ngoja niwaite timu chawa waje watie neno maana nyuzi kama hizi huwa hawazioni..
Lucas Mwashambwa,
Tlaatlaah
analia kwa Furaha baada ya kukunja 21m at once ambayo haijawahi kuishika, analia kwasabb kachelewa kuzipata hizo 21m kwa sababu mbalimbali au analia kwa sababu fedha alizopata ni kidogo kutokana na kiasi kingine kulipa deni alilokopa na kumsaidia mwenye? au analia kwa Furaha kwasabb kiasi kilichobaki kitamsadia kwa muda marefu pole pole kidogo kidogo 🐒

na umejuaje analia kwa miongoni mwa sababu hizo hapo juu? wewe ni nani wake kwanza 🐒

aulizwe vizuri, huenda ana matatizo mengine binafsi makubwa zaidi, lakini Sheria hii haibagui cheo au nafasi ulioko. Sheria ni msumeno yeyote atakaestaafu atafuata sheria ya kikokotoo iliyopo 🐒
 
Karibu uraiani kamanda 😄
Au unasemaje Tlaatlaah
Watu wana sulubika bana

Ova
mimi baada ya kutoka hapo kati....

huwa niko mtaani kabisa , tena kijijini ndani ndani kabisa huko kwa wanainchi. Na wapo wastaafu hapo wanaenjoy mno mafao yao kwa kikokotoo hikihiki na kwakweli wanaishukuru sana bunge na serikali kwa sheria hii ya mafao. Hata wale waliostaafu mwanzo, pia wanafurahia marupurupu yao bila tashwishwi yoyote 🐒

so,
huyo inawezekana ana matatizo mengine binafsi zaidi ya hayo mafao....
 
Poleni

Ova
 
Back
Top Bottom