Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kwa mtazamo wangu, kuchoma ofisi za CHADEMA, lengo ni kuwa-prove CHADEMA wapandwe na hasira walipize kisasi wapate sababu ya kuishughulikia CHADEMA.
Nasema hivi kwasababu, ikitokea ofisi za chama fulani zimechomwa moto, baai CHADEMA watashukiwa kama mwewe na wale walio kimya wakati ofisi za CHADEMA zinachomwa moto, mtawasikia wakitoa matamko ya kulaani na kuchukua hatua.
Walishindwa katika hili, Plan B inaweza kuwa ni wahusika kuchoma ofisi zao wenyewe na kusingizia wengine ili wapate sababu.
Wanaoita watu magaidi, wao ndio magaidi na majambazi wakubwa.
Wenzenu wanautafuta uzima wa milele, nyinyi mnayatafuta ya dunia ikiwemo CHADEMA.
Pathetic creatures
Yana mwisho.