Wakati Waziri wa elimu anasema alinyimwa kumwona Rais Kuna mtu alimpelekea kimemo Kinasema 'acha porojo toa hotuba",akajibu ndio nahutubia

Wakati Waziri wa elimu anasema alinyimwa kumwona Rais Kuna mtu alimpelekea kimemo Kinasema 'acha porojo toa hotuba",akajibu ndio nahutubia

Bado nasisitiza Ikulu Kuna changamoto Hasa huyu msaidizi wa Rais analeta mno Uzanzibar Zaidi,

Uwezi amini wakati Mh proffesa Mkenda, anahutubia alipofika hatua ya kusema changamoto walizokutana nazo alipo tamka yakuwa alimtafta Muda MREFU paspo MAFANIKIO na alipofanikiwa alipewa mida wa masaa mawili TU ghafla alitokea mtu pembeni ambae nae ni msaidizi wa msaidizi wa Rais

Akampelekea KIMEMO kilichokuwa kimeandikwa "hacha porojo toa hutuba"

Waziri nae akausoma mchezo yakuwa mambo yake Yale yaliendelea ndiooo alipo mjibu yakuwa "ndo nautubia hapa"
Ni jambo la kawaida muhutubiaji kupewa maagizo na waratibu wa hafla kuhusu kutawala muda. Mara apokeapo maagizo hayo, hufanya marekebisho yanayotakiwa kimyakimya bila haja ya kutangaza kwa hadhira.

Kama ni kweli Waziri wa Elimu alipokea kimemo cha kushauriwa aharakishe hotuba yake; halafu akajibu hadhira kwamba “ndiyo nahutubia”, basi Waziri ana changamoto ya itifaki na busara.
 
  • Thanks
Reactions: Ame

..kuna hafla moja Makongoro Nyerere alitumia dakika 12 kwa ajili ya itifaki tu.🤣
 
Haponi huyo ukizingatia ni mchaga na mgalatia.

..Nimesikiliza hotuba ya Prof.Mkenda.

..sijaona alipokosea, na hata mood ukumbini ilikuwa nzuri.

..labda wengine wana maoni tofauti, lakini itapendeza video ya alichozungumza Prof ikawekwa ktk mada hii.
 
Hivi ni kweli Waziri alilalamika kwenye —public kwamba alipata tabu ya kumuona Rais? Weka clip hapa tusikie.

..nakiri kwamba mtoa mada ametupa tafsiri ambayo siyo kuhusu nini kilichosemwa na Prof.Mkenda.

..Na kwa bahati mbaya na sisi tukaanza kuchangia bila kwanza kujiridhisha.

..kwa upande wangu hayo ni mapungufu, kwa hiyo nakiri KUKOSEA.

..video ya hotuba ya Prof.Mkenda ni hii hapa chini.

View: https://www.youtube.com/watch?v=SkdtFJtV_TU
 
Mama anabana kuonwa ili asipate challenge hana uwezo kukabiliana hoja nzuto za daily operation za nchi....ndio maana anawakimbia watendajiii period
 
Back
Top Bottom