Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
Tanzania Air iliingia ICU 1976 ikafaa miaka michache baadayeWanapenda sifa tu.
KQ ipo ICU lakini wanatuonyesha picha za ndege!
Hata Rwanda Air, ikiingiliwa kisiasa au wakiomba mikopo hovyo , itakufa haraka.
Ndugu, haya mimi nawaambia wakenya humu kila siku lakini majirani wanavaa miwani ya mbao na kusema all is well.Wanapenda sifa tu.
KQ ipo ICU lakini wanatuonyesha picha za ndege!
Hata Rwanda Air, ikiingiliwa kisiasa au wakiomba mikopo hovyo , itakufa haraka.
endelea kuota na hadithi za jubileeThe amount of minerals tanzania has is equivalent to surpassing Singapore
Taiwan and Indonesia on its own
384bn$ + 562bn$ + 1012bn$
Lakin Tanzania ipo tu at 46bn$
Kenya ikipaa 71bn$
Tanzania Air iliingia ICU 1976 ikafaa miaka michache baadaye
KQ Ilikuwa ICU 2004
2008
2010
2011
2012
2013
2014
2015
LETA mada ya 2016 tuone kama bado iko ICU
na jua kenya kuna airline 12
Kq Ni moja tu
Precision Air huko Tanzania pia ni ya Kenya
Ndugu, haya mimi nawaambia wakenya humu kila siku lakini majirani wanavaa miwani ya mbao na kusema all is well.
Bora hata sisi Watanzania kuliko Wakenya Uhuru Kenyatta ana hisa humo ndani KLM wana hisa humo ndani serikali sijui wana hisa ngapiOnly in Kenya
mi nakwambi watanzania wanatuaibishanga sana...mtanznia ni kama ule cuzo yko ametoka ocha juzi amekam nai anakuchafulia jina mtaani...thats east africa for youWhen others are spending money on this
Mm, old jamani? Mbona ni za kisasa sana na nchi nyingi wananunua. Hizo sio ndege za masafa marefu, ni za masafa mafupi, sana sana kwa safari za ndani na labda na nchi jirani. Hata Rwandair wanazo, Ethiopia wanazo,SAA wanazo pia.kenya na rwanda wanadevelop kwa speed na faster sana tanzania everyday wanathink kununua ndege za old model, old fashion mabombaradier
shame on u magufuli
Haya matusi mengine haya kuongezei pesa mfukoni.m
mi nakwambi watanzania wanatuaibishanga sana...mtanznia ni kama ule cuzo yko ametoka ocha juzi amekam nai anakuchafulia jina mtaani...thats east africa for you
mandege gani yale yana mapanga?Mm, old jamani? Mbona ni za kisasa sana na nchi nyingi wananunua. Hizo sio ndege za masafa marefu, ni za masafa mafupi, sana sana kwa safari za ndani na labda na nchi jirani. Hata Rwandair wanazo, Ethiopia wanazo,SAA wanazo pia.
Sasa unataka kusafiri na jumbo jet kutoka Dar mpaka Dodoma? Shirika la ndege linakuwa na ndege za aina mbali mbali kutoka na safari itakazo enda. Hututa ongea haya maneno in 10 years time.mandege gani yale yana mapanga?
ukweli usemwe kaka...tanzania is a failed state....its embarrassing that we even share a border with such country...Rwanda a small country coming up fast already overtaking this sleeping giant...anyway endeleeni kulala tuwapumbavu wakubwaHaya matusi mengine haya kuongezei pesa mfukoni.
stupd excuses...thats a tanzanian for youSasa unataka kusafiri na jumbo jet kutoka Dar mpaka Dodoma? Shirika la ndege linakuwa na ndege za aina mbali mbali kutoka na safari itakazo enda. Hututa ongea haya maneno in 10 years time.
wapi za masafa marefu????Mm, old jamani? Mbona ni za kisasa sana na nchi nyingi wananunua. Hizo sio ndege za masafa marefu, ni za masafa mafupi, sana sana kwa safari za ndani na labda na nchi jirani. Hata Rwandair wanazo, Ethiopia wanazo,SAA wanazo pia.
ths kind of thnking is what led africa to poverty, underdevelopment and ignorance...anyway thats the perfect example of a danganyikanLakini si alisema nyingine zinakuja au hatumuamini kiongozi wetu?,isitoshe kila kitu na muda wake