Wakati wengine wanalala.. Rwanda waliamka na kuanza kazi

Wakati wengine wanalala.. Rwanda waliamka na kuanza kazi

Wanapenda sifa tu.

KQ ipo ICU lakini wanatuonyesha picha za ndege!

Hata Rwanda Air, ikiingiliwa kisiasa au wakiomba mikopo hovyo , itakufa haraka.
Tanzania Air iliingia ICU 1976 ikafaa miaka michache baadaye

KQ Ilikuwa ICU 2004
2008
2010
2011
2012
2013
2014
2015

LETA mada ya 2016 tuone kama bado iko ICU

na jua kenya kuna airline 12
Kq Ni moja tu

Precision Air huko Tanzania pia ni ya Kenya
 
Wanapenda sifa tu.

KQ ipo ICU lakini wanatuonyesha picha za ndege!

Hata Rwanda Air, ikiingiliwa kisiasa au wakiomba mikopo hovyo , itakufa haraka.
Ndugu, haya mimi nawaambia wakenya humu kila siku lakini majirani wanavaa miwani ya mbao na kusema all is well.
 
The amount of minerals tanzania has is equivalent to surpassing Singapore
Taiwan and Indonesia on its own

384bn$ + 562bn$ + 1012bn$

Lakin Tanzania ipo tu at 46bn$

Kenya ikipaa 71bn$
endelea kuota na hadithi za jubilee
 
Lakini si alisema nyingine zinakuja au hatumuamini kiongozi wetu?,isitoshe kila kitu na muda wake
 
Tanzania Air iliingia ICU 1976 ikafaa miaka michache baadaye

KQ Ilikuwa ICU 2004
2008
2010
2011
2012
2013
2014
2015

LETA mada ya 2016 tuone kama bado iko ICU

na jua kenya kuna airline 12
Kq Ni moja tu

Precision Air huko Tanzania pia ni ya Kenya

Silinganishi Air Tanzania na Kenya Airways. Nisome vizuri.

Nimeandika KQ imepata hasara miaka minne mfululizo na nimeweka chanzo chake.

Mpaka March 2016, gazeti lenu limeandika shirika limepata hasara ya $258 million dollar.

Sipo hapa kutafuta ligi. Sina muda.

Nilikuwa namjibu mchangiaji aliyoweka mapicha mazuri ya shirika lililo kwenye ICU. Ni udanganyifu.

Tusubiri financial year 2017 March, tuendelee na mjadala huu.

For now, KQ is bleeding red. Take it or leave it.

I don't care who owns the corporation, kama service na bei ni nzuri, nitapanda ndege iwe Kenyan, Tanzanian , Rwandan au Bangladeshi owned.

Na ndege yetu inajulikana kama Air Tanzania sio Tanzania Air.
 
Ndugu, haya mimi nawaambia wakenya humu kila siku lakini majirani wanavaa miwani ya mbao na kusema all is well.

Huo ndio ukweli japo unauma.

Nimewawekea chanzo cha magazeti yao wenyewe ili kupunguza ubishi.

Naomba tu wafanikiwe. Biashara za ndege Afrika ni shida kwa ujumla.
 
kenya na rwanda wanadevelop kwa speed na faster sana tanzania everyday wanathink kununua ndege za old model, old fashion mabombaradier
shame on u magufuli
 
Kagame katuingiza mkenge ile mbaya!!!
 
Ndugu zenu ndio walioongoza katika kuihujumu Tanzania yetu. Leo hamuoni hata aibu mnaleta mambo ya kijinga. Hivi utamfananishaje baba yako na baba wa mwenzako. Unamponda baba yako kwa sababu tu baba wa rafiki yako ni tajiri.
 
Only in Kenya
26e9488c44e29f5139f5aada4d0b7ccc.jpg
a9334c17faa8e94de9ec61e047891eb1.jpg
d711402d117b6e80d0ca8ea8d46981f4.jpg
9228a00c90b8a98675e2e8424c85ab6f.jpg
f883fe439c305d40487e883983e58806.jpg
0b435578edb3be745fc0d7a8e5f59166.jpg
0af4edada3b5b3576709773aed0438ac.jpg
6ffe27dface5b3e3b1032533827a9cf3.jpg
1e4767d19ca483047e80874ddbafb6fa.jpg
Bora hata sisi Watanzania kuliko Wakenya Uhuru Kenyatta ana hisa humo ndani KLM wana hisa humo ndani serikali sijui wana hisa ngapi
 
m
When others are spending money on this
d4e9502ff93c873798cae747eea2607c.jpg
4fdaa4e2db568f2d703be85137f78333.jpg
c7f2c6434933ee6c5e47af8d4057f816.jpg
d1f03b2b9e7f7c6c7c87ce82906f9680.jpg
mi nakwambi watanzania wanatuaibishanga sana...mtanznia ni kama ule cuzo yko ametoka ocha juzi amekam nai anakuchafulia jina mtaani...thats east africa for you
 
kenya na rwanda wanadevelop kwa speed na faster sana tanzania everyday wanathink kununua ndege za old model, old fashion mabombaradier
shame on u magufuli
Mm, old jamani? Mbona ni za kisasa sana na nchi nyingi wananunua. Hizo sio ndege za masafa marefu, ni za masafa mafupi, sana sana kwa safari za ndani na labda na nchi jirani. Hata Rwandair wanazo, Ethiopia wanazo,SAA wanazo pia.
 
m

mi nakwambi watanzania wanatuaibishanga sana...mtanznia ni kama ule cuzo yko ametoka ocha juzi amekam nai anakuchafulia jina mtaani...thats east africa for you
Haya matusi mengine haya kuongezei pesa mfukoni.
 
Mm, old jamani? Mbona ni za kisasa sana na nchi nyingi wananunua. Hizo sio ndege za masafa marefu, ni za masafa mafupi, sana sana kwa safari za ndani na labda na nchi jirani. Hata Rwandair wanazo, Ethiopia wanazo,SAA wanazo pia.
mandege gani yale yana mapanga?
 
mandege gani yale yana mapanga?
Sasa unataka kusafiri na jumbo jet kutoka Dar mpaka Dodoma? Shirika la ndege linakuwa na ndege za aina mbali mbali kutoka na safari itakazo enda. Hututa ongea haya maneno in 10 years time.
 
Haya matusi mengine haya kuongezei pesa mfukoni.
ukweli usemwe kaka...tanzania is a failed state....its embarrassing that we even share a border with such country...Rwanda a small country coming up fast already overtaking this sleeping giant...anyway endeleeni kulala tuwapumbavu wakubwa
 
Sasa unataka kusafiri na jumbo jet kutoka Dar mpaka Dodoma? Shirika la ndege linakuwa na ndege za aina mbali mbali kutoka na safari itakazo enda. Hututa ongea haya maneno in 10 years time.
stupd excuses...thats a tanzanian for you
 
Mm, old jamani? Mbona ni za kisasa sana na nchi nyingi wananunua. Hizo sio ndege za masafa marefu, ni za masafa mafupi, sana sana kwa safari za ndani na labda na nchi jirani. Hata Rwandair wanazo, Ethiopia wanazo,SAA wanazo pia.
wapi za masafa marefu????
 
Back
Top Bottom