Wakati wengine wanalala.. Rwanda waliamka na kuanza kazi

Wakati wengine wanalala.. Rwanda waliamka na kuanza kazi

Ndugu, haya mimi nawaambia wakenya humu kila siku lakini majirani wanavaa miwani ya mbao na kusema all is well.
kwa taarifa yako KQ is headed for a quick turnaround.....what does danganyika have????????
 
Bora hata sisi Watanzania kuliko Wakenya Uhuru Kenyatta ana hisa humo ndani KLM wana hisa humo ndani serikali sijui wana hisa ngapi
wewe unajua kinachosemwa katika uzi huu kweli??? mbona unakaa bongolala hushiki ata 1+1
 
ukweli usemwe kaka...tanzania is a failed state....its embarrassing that we even share a border with such country...Rwanda a small country coming up fast already overtaking this sleeping giant...anyway endeleeni kulala tuwapumbavu wakubwa
I wish you could say the same to South Sudan, nadhani na wao unashare border pia na wanamafuta mengi tuu. Are you embarrassed by them too? This is just a put down talk Kenya emewalisha watu wake for years about Tanzania. Ukienda Nairobi Leo ukawauliza watu ambao hawajui Tanzania watakuambia its a communist country nothing else after that. Lakini hakuna anajua kuhusu religion tolerance, au the gap between rich and poor is smaller in the region. Having big aircraft and paved roads it gives you a country but not a nation.
 
I wish you could say the same to South Sudan, nadhani na wao unashare border pia na wanamafuta mengi tuu. Are you embarrassed by them too? This is just a put down talk Kenya emewalisha watu wake for years about Tanzania. Ukienda Nairobi Leo ukawauliza watu ambao hawajui Tanzania watakuambia its a communist county nothing else after that. Lakini hakuna anajua kuhusu religion tolerance, au the gap between rich and poor is smaller in the region. Having big aircraft and paved roads it gives you a country but not a nation.
South sudan is a troubled nation kama somalia and u know it...lets face it...tanzania is practically paradise no corruption, a lot of natural resources, beaches, wildlife, mountains, rainfall etc lakini level yenye mko joo...it really brings a lot of questions?
 
But we can not all have the same priorities. Everything which was agreed within EAC Tanzania have met it's obligations, zaidi ya hapo kila nchi inaenda kivyake.
 
mbona mapovu mengi ndugu................😀😀😀😀😀
 
But we can not all have the same priorities. Everything which was agreed within EAC Tanzania have met it's obligations, zaidi ya hapo kila nchi inaenda kivyake.
regional integration is the way to go...just see how the EU has benefited countries like Portugal.....ila nyie mwafikiria mkijitenga mtafika mahali...doo! MTASHANGAA!!! ata rais kupanda ndege anaogopa wakati Rwanda ina make steps forward nyie bado mwapigana na media
 
shida yenu ukweli ukisemwa mnaanza kujiharia alafu mnaanza matusi...

hakuna mtu aliyekutusi in fact soma moja ya comments zako hapo juu umetutukana sana waTz that's why nikakuuliza mbona mapovu mengi???????????????????????????????????????????
 
hakuna mtu aliyekutusi in fact soma moja ya comments zako hapo juu umetutukana sana waTz that's why nikakuuliza mbona mapovu mengi???????????????????????????????????????????
backward thinking of danganyikans.....
 
regional integration is the way to go...just see how the EU has benefited countries like Portugal.....ila nyie mwafikiria mkijitenga mtafika mahali...doo! MTASHANGAA!!! ata rais kupanda ndege anaogopa wakati Rwanda ina make steps forward nyie bado mwapigana na media
Huyo rais anaogopa kupanda ndege ni nani? And I hope unafatilia Mambo ya EU yanavyo kwenda, nchi nyingi za EU wanalia na ubanaji wa sheria kutoka EU. The rise of far right in EU itaitafuna EU na hata dunia pia. EAC ina nafasi yake lakini sio jibu la all EA countries. Kuna vitu vingi ambavyo sio members wote wanakubali, moja ni kama hili kunasema Tanzania is embarrassing Kenya. But Kenya is embarrassing it self kutowapa justice watu walio poteza maisha in 2007 election. We can choose to buy all those big plane's, lakini is that what we really need right now?
 
Kwa watanzania tulio wengi, kipaumbele chetu cha kwanza hakikuwa ndege...!! Raia hawana madawa hospital, hatuna maji safi na salama ya kunywa, miundombinu mibovu, hatuna umeme wa uhakika, vijana hawana Ajira, mikopo ya vyuo vikuu bado ni vichomi, unga sasa ni Tsh. 1500 kwa kilo( Gharama za maisha kupanda), ..!! Kama serikali hii inajari watu wa chini na ndio tulio wengi, ingeshughulikia vipaumbele hivi kwanza.
 
Huyo rais anaogopa kupanda ndege ni nani? And I hope unafatilia Mambo ya EU yanavyo kwenda, nchi nyingi za EU wanalia na ubanaji wa sheria kutoka EU. The rise of far right in EU itaitafuna EU na hata dunia pia. EAC ina nafasi yake lakini sio jibu la all EA countries. Kuna vitu vingi ambavyo sio members wote wanakubali, moja ni kama hili kunasema Tanzania is embarrassing Kenya. But Kenya is embarrassing it self kutowapa justice watu walio poteza maisha in 2007 election. We can choose to buy all those big plane's, lakini is that what we really need now?
there is a need for those planes....FDI Foreign direct investment, that's why Rwanda is now attracting investors like nobody's business..
 
Wivu utakuua sio itakuua. Kiswahili kibovu kelele nyingi mbisi kabisa. Chukua kamusi usome mbisi ni nini?!
sihitaji ujinga wenu uo...kiswahili ndio nini sasa wee???😛😛😛😀😀 wakenya twaongea lugha za maana bana wacha upumbavu wewe.... wee wajua kiingereza??? ama broken english tu ndo wajua
 
there is a need for those planes....FDI Foreign direct investment, that's why Rwanda is now attracting investors like nobody's business..
Kama hauna resources lazima kimbilio lako litakuwa investors. Lakini hapo hapo utakuta Tanzania inapata investors kuliko EAC wote.
 
Back
Top Bottom