Wakati wenzetu wakiendelea na uvumbuzi wa AI, sisi tunakomaa kufundisha panya pale SUA

Wakati wenzetu wakiendelea na uvumbuzi wa AI, sisi tunakomaa kufundisha panya pale SUA

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Wakati wenzetu wakiendelea kuvumbua teknolojia mbalimbali ikiwemo akili ya bandia (Artificial Intelligence), wasomi wetu wa SUA wanakimbizana na panya eti kuwafundisha panya kubaini magonjwa na kugundua sehemu ambazo mabumu ya ardhini yametegwa.

Kwa maoni yangu huu ni mtindio wa ubongo kwani kwa teknolojia ya sasa, hakuna haja ya kutumia panya kwenye hayo mambo madogo, mwisho mtatuletea magonjwa bure. Hebu kuweni serious au badilisheni hicho chuo kuwa mabanda ya kuku ili taifa linufaike kwa kuuza mayai na nyama lakini sio huo upuuzi.

Sahivi wenzenu wanatengeneza robots zinazofanya hayo mambo bila kukosea nyie mnatuibia tu hapo.

Muwe serious basi, ikibidi kaeni kimya ili msituaibishe p u.m bav u zenu.
 
As long as panya anasaidia shughuli zetu, basi!
 
Umebugi step. Hata nchi zilizoendelea zinafanya reserch nyingi za kuwatumia mbwa, panya nk kugundua magonjwa na mambo mengine. AI na panya ni matawi mawili tofauti.
 
Ila nasikia panya magawa hakuacha kizazi endelevu kwa sababu alikua anatumia Vumbi la Congo, hii ni kweli wadau ?

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
unavyoongea as if chuo kizima wanafundisha panya.. kumbe ni mradi mdogo tu ndani ya idara mojawapo.
 
Kutoka kwa mtafiti wa kujitegemea

Ndiyo hatua ya kwanza ya utafiti.

Dawa nyingi huanzia kwenye panya.

Onaa, kwa mtafiti, mwalimu, mwanafunzi mwenye science project anayehitaji panya wa majaribio kwa Nyanda za juu kusini tuwasiliane 0734189022. Kwa sasa M 20230928_161711.jpgbeya
 
Back
Top Bottom